Pre GE2025 DSM John Mrema: Kampeni yetu ya tone tone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? Viongozi hawana cha kusema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Nov 7, 2023
1,056
1,718
Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?

Attachments

  • 2025-04-06 13-01-19.mp4
    25.6 MB
  • 2025-04-06 13-56-40.mp4
    26.9 MB
Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294777
Ndio kitajiendesha kwa miaka 100 ijayo ,yeye anawashwa nini, atwambie pia akiwa kiongozi mapato na matumizi ya join the chain
 
Ukitaka kujua hawa ni mazombie subirini King Lisu amaliza operation yake mtakuja kunikumbuka, hao walioko nyuma yenu na wamejificha gizani watabaki salama, nyie mliojifanya eti kuwawakilisha mtashangaa na manyonyo yenu
MNAKERA, YAANI MNAKERA.
 
Duh! Mzee baba mbona ujikosha hivyo eti king lissu ?? Tumefikia uchawa wa namna hii wale machawa wa mama na wewe mnatofauti gani? Huu sio uwanaume mkuu
 
The only solution if they want to pursue their political carrier is to make a set up of their pollical party, PERIOD
HAKUNA MBAMBA WALA KUBEMBELEZANA. KUBEMBELEZANA HUKO NDIO KUMETUFIKISHA HAPA.
 
Tone kwa tone. Hawajawahi kuaminiana katika masuala ya pesa, walishakuwa na kampeni nyingi zilisohusisha pesa lakini mwisho wake huwa ni kuibua maswali mengi mno
 
Wana JF walio wengi wanadai G55 ni proxy rebels wa Mwamba.

Lakini mwamba mwenyewe kama vile hana habari na siasa.

Ngoja tuendelee kusoma wajuvi wa siasa za CDM na Tanzania kwa ujumla.
 
Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294777
niliwahi kuandika uzi humu jukwaani nikaibua hoja hiyo,
ni wazi usiri uliopo unashiria matone hakuna yamekauka kabisa na ndio maana Lema kakonda na Heche kawa mkali na katili sana kwasababu wamekosa pesa kwaajili ya kubeti :NoGodNo:
 
Ukitaka kujua hawa ni mazombie subirini King Lisu amaliza operation yake mtakuja kunikumbuka, hao walioko nyuma yenu na wamejificha gizani watabaki salama, nyie mliojifanya eti kuwawakilisha mtashangaa na manyonyo yenu
MNAKERA, YAANI MNAKERA.
wanakera kwa sababu wewe ni chawa wa Lisu
 
Back
Top Bottom