Pre GE2025 DSM John Mrema: Kama leo huna dola unawaza kufukuza watu wenye mawazo mbadala ndani ya chama, siku ukipewa dola itakuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
98,210
172,430
Akizungumza leo kwenye mkutano wake na vyombo vya habari, John Mrema amesema:

"Leo kama ukikosolewa ndani ya chama unawaza kufukuza wanachama wako, tena watiania wabunge waliofanya chama hiki kinapata ruzuku kisa wanatoa maoni na mawazo mbadala hivi ukipewa dola utasikiliza wapinzani wako kweli?"

"Kama leo huna dola unawaza silaha ni kufukuza, hivi siku wakipewa dola itakuwaje?"

cc: Lucas Mwashambwa - Kibao Mbozi
 
Mkurugenzi mkuu wa Chadema aliyestaafishwa mh Jon Mrema amesema Chadema ikipewa Dola nchi itasambaratika

Mrema amesema Chadema ni Chama kilichojaa visasi na matusi na kwamba kimekosa uvumilivu kabisa

Mrema amehoji, kama tunamalizana wenyewe kwa wenyewe ndani ya Chama itakuwaje tukishika Dola?

Mrema ametema nyongo siku 2 kabla Mabalozi hawajaenda Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wake mh Tundu Lisu

cc: Lucas Mwashambwa - Kibao Mbozi
Duuh hahahaha kazi kwelikweli.

Huyu jamaa ameumia sana Mbowe kushindwa, yeye kutolewa Ukurugenzi, Mademu wao wa COVID 19 Kuambiwa hawana Chao tena
 
Mkurugenzi mkuu wa Chadema aliyestaafishwa mh Jon Mrema amesema Chadema ikipewa Dola nchi itasambaratika

Mrema amesema Chadema ni Chama kilichojaa visasi na matusi na kwamba kimekosa uvumilivu kabisa

Mrema amehoji, kama tunamalizana wenyewe kwa wenyewe ndani ya Chama itakuwaje tukishika Dola?

Mrema ametema nyongo siku 2 kabla Mabalozi hawajaenda Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wake mh Tundu Lisu

cc: Lucas Mwashambwa - Kibao Mbozi
Ukweli mtupu
 
Kisasi ni Haki kwa wale Watu waliodhulumiwa Haki zao kwa makusudi.
 
Mkurugenzi mkuu wa Chadema aliyestaafishwa mh Jon Mrema amesema Chadema ikipewa Dola nchi itasambaratika

Mrema amesema Chadema ni Chama kilichojaa visasi na matusi na kwamba kimekosa uvumilivu kabisa

Mrema amehoji, kama tunamalizana wenyewe kwa wenyewe ndani ya Chama itakuwaje tukishika Dola?

Mrema ametema nyongo siku 2 kabla Mabalozi hawajaenda Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wake mh Tundu Lisu

cc: Lucas Mwashambwa - Kibao Mbozi
Heche na Lisu kamatieni hapo hapo, hao njaa55 wamezoea kupiga udalali kwa ccm na huu ndo ulikuwa msimu wao wa mavuno sasa anaona miamba wamekaza kwelikweli, ila huyu mrema anateseka sana aisee jamaa hana hata mshipa wa aibu
 
Mkurugenzi mkuu wa Chadema aliyestaafishwa mh Jon Mrema amesema Chadema ikipewa Dola nchi itasambaratika

Mrema amesema Chadema ni Chama kilichojaa visasi na matusi na kwamba kimekosa uvumilivu kabisa

Mrema amehoji, kama tunamalizana wenyewe kwa wenyewe ndani ya Chama itakuwaje tukishika Dola?

Mrema ametema nyongo siku 2 kabla Mabalozi hawajaenda Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wake mh Tundu Lisu

cc: Lucas Mwashambwa - Kibao Mbozi
jamaa bado analilia ruzuku!

wakati CDM haina muda na ruzuku

#NoReformsNoElection
 
Jamaa muda wote anaonekana kwenye matukio ya kupambania ulaji tu. Huwezi mkuta anajadili vitu vya maana
 
Maskini Mohamed Kibao
Kulipa kisasi kwa matukio Kama hilo ni ibada na ni thawabu kubwa kwa Mungu!
Hata Maandiko Matakatifu yanabariki na kuruhusu Visasi vya namna hiyo.

Biblia Takatifu,
Kutoka 21 : 14, 23 - 25.
"Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumuua kwa jeuri, hata Kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na KUMUUA.
Lakini Kama yatakuwepo madhara mengine, basi lazima amlipe uhai kwa uhai, jino kwa jino, jicho kwa jicho, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo."
 
Mkurugenzi mkuu wa Chadema aliyestaafishwa mh Jon Mrema amesema Chadema ikipewa Dola nchi itasambaratika

Mrema amesema Chadema ni Chama kilichojaa visasi na matusi na kwamba kimekosa uvumilivu kabisa

Mrema amehoji, kama tunamalizana wenyewe kwa wenyewe ndani ya Chama itakuwaje tukishika Dola?

Mrema ametema nyongo siku 2 kabla Mabalozi hawajaenda Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wake mh Tundu Lisu

cc: Lucas Mwashambwa - Kibao Mbozi
Wewe Mrena wewe,kumbe mwili ulikiwa Chadema ila roho ccm.?
 
Back
Top Bottom