johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,165
- 164,650
John Heche mjumbe wa kamati kuu ya Chadema yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi
Karibu sana
Karibu sana
Watu tupo Netflix wewe unatupeleka wapi huko?John Heche mjumbe wa kamati kuu ya Chadema yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi
Karibu sana
Nani karejesha utekaji ? ni yule yule mteule mpya ?John Heche mjumbe wa kamati kuu ya Chadema yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi
Karibu sana
Usimsifie sana jirani na Mwana EDUCHE mwenzangu yakaja kumtokea ya Chacha Wangwe!Heche ni jembe la kikurya,hongera mbunge wa Tarime vijijini unastahili sana
Kanda ya ziwa ilichukizwa mno na kitendo cha Chadema ikiongozwa na HECHE kushangilia kifo cha Magufuli.expand...
Huyo jamaa ni Malaya kinoma noma. Akiwa kwenye runinga unaweza kusema mtu wa maana kumbe mse#nge mmoja tuKanda ya ziwa ilichukizwa mno na kitendo cha Chadema ikiongozwa na HECHE kushangilia kifo cha Magufuli.
Dk. Slaa aliwahi kukitaja kikosi cha utekaji na utesaji CHADEMA kinachoongozwa na BAVICHA na kusimamiwa na HECHE. HECHE anateka watu kwa dhamira ya Kuichafua serikali.
Aache kabisa huu ujinga.
Huwa naona Uchawa ndio kiwango cha Chini kabisa cha uelewa. Ni Uzuzu fulani ambao haujali hata Elimu ya Mhusika( Whether you are Intelligent or Mediocre wote mko level moja).Tatizo la John Heche ni mtu wa mentality ya negative thinking, hawezi ona zuri lolote katika jambo lolote!
Heche mpe shuka kubwa jeupe la 6×6 na weka doa jeusi ukubwa wa yai la kware na muulize Heche unaona nini katika shuka Hilo na atakujibu haraka hata bila kufikiria kwamba anaona doa jeusi!
He is not intelligent!
Pia anatumia nguvu sana kushawishi kukubalika kwa hoja zake!
Yeye si Mwanasheria hivyo uchambuzi wake wa miswada hiyo haina tofauti sana na uchambuzi wa Oscar wa Wasafi FM!
Mnaopenda kumsikiliza msikilizeni!
John Heche mjumbe wa kamati kuu ya Chadema yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi
Karibu sana
Ila sema ni vile uchaguzi ni vita,ila kama kungekua na fair ground kwenye chaguzi za bongo hawa jamaa wangekua washindi kila siku,ccm kumejaa vilaza wanaotumia mbeleko ya dola kubaki madarakani
Ni mtu Mjinga tu ambaye hataliona hilo DOA kwenye Shuka nyeupe 🐼Tatizo la John Heche ni mtu wa mentality ya negative thinking, hawezi ona zuri lolote katika jambo lolote!
Heche mpe shuka kubwa jeupe la 6×6 na weka doa jeusi ukubwa wa yai la kware na muulize Heche unaona nini katika shuka Hilo na atakujibu haraka hata bila kufikiria kwamba anaona doa jeusi!
He is not intelligent!
Pia anatumia nguvu sana kushawishi kukubalika kwa hoja zake!
Yeye si Mwanasheria hivyo uchambuzi wake wa miswada hiyo haina tofauti sana na uchambuzi wa Oscar wa Wasafi FM!
Mnaopenda kumsikiliza msikilizeni!
Muhammad ndio muasisi.Sisi kama viongozi wa Dini tunachukizwa sana na siasa za zinazofanywa na watu wa aina ya heche, wanasiasa wa Chadema mjiangalie sana
Kamuulize mamayenu samia uenyekiti aligombania na naniAkagombanie Uenyekiti wa CHADEMA, basi.
Mbowe halali leo.
Unajamba Maputo Tu.Tatizo la John Heche ni mtu wa mentality ya negative thinking, hawezi ona zuri lolote katika jambo lolote!
Heche mpe shuka kubwa jeupe la 6×6 na weka doa jeusi ukubwa wa yai la kware na muulize Heche unaona nini katika shuka Hilo na atakujibu haraka hata bila kufikiria kwamba anaona doa jeusi!
He is not intelligent!
Pia anatumia nguvu sana kushawishi kukubalika kwa hoja zake!
Yeye si Mwanasheria hivyo uchambuzi wake wa miswada hiyo haina tofauti sana na uchambuzi wa Oscar wa Wasafi FM!
Mnaopenda kumsikiliza msikilizeni!
Na Urais tunachapisha fomu moja kama alivyofanya Magufuli.Kamuulize mamayenu samia uenyekiti aligombania na nani