Pre GE2025 DSM John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
2,096
5,592
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X

"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Heche huru.png

Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
 
CCM wamewahi kufanya hapo hapo + polisi walisharidhia na kukataa kwenye last minutes!

Hadi hapo wasema je ndugu mjumbe?
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Mbona ccm wao wanafanya mikutano hapo?
 
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X

"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"

Aluta continua!
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Kariakoo inafanyika mikutano mingi tu hakuna biashara zozote za maana

Muhimu ni kupata kibali cha polisi tu
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
CCM walikuwepo Kariakoo pia,wakifanya mkutano.
 
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X

"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

😆😆😆😆😆😆 polisi wana akili sana

Wamewashughulisha kama walivyotaka

Ila kuzurura kariakoo mchana ni shida sana 😆😆😆
 
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X

"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Ameachiliwa?
 
ndivyo inavyofaa kuwafanya vibaka na matapeli waropokaji wa kisiasa gentleman 🐒
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Huo usumbufu hukuuona walipo fanya mkutano CCM? Usiwe mbinafsi
 
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X

"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

POLISI WAMEONYESHA UTOTO WAO, WANACHEZEA MAGARI YA SEREKALI
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Yaani wasanii wakifanya shughuli zao za kimuziki kariakoo wala hakuna shida, Ila chadema ndio shida dah Tanzania
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Mbona maulidi hufanyika kariko barabara hufungwa, yanga walivo win ubingwa walifanya paredi kariako zaid ya 3 hours wamefunga barabara msimbazi au hayo matukio huwa huyaoni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom