Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 48,809
- 150,428
Kaandika hivi katika mtandao wa X:
Tuna jukumu la kihistoria la kuhakikisha tunaipatia Nchi yetu chama mbadala, na serikali mbadala itakayowatumikia watu na kuwaondoa katika umasikini wa miaka 63 ya Uhuru.Serikali na chama kitachopinga rushwa bila aibu, chama kinachochukia umasikini, chama kitakachoongoza na kutumia rasimali zetu nyingi kuendeleza watu wetu..Ndio maana tumekaa kimya kuepusha mpasuko zaidi ndani ya chama katika kipindi hiki cha uchaguzi.Hata hivyo katika wakati muafaka na mda sio mrefu nitazungumza na kutoa muelekeo wangu katika jambo hili kubwa.Nimepata Jumbe nyingi, simu nyingi, nawahakikishia Watanzania na wanachadema kwamba nimewasikia na nitazungumza