Kuelekea 2025 John Heche kuchukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
3,824
9,107
Godbless Lema amesema kwamba John Heche kakubali kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara. Heche bado hajaongea chochote.
Screenshot_20250103-151912.png
 
Tupate viongozi wasio wachagga walau chadema iwe na sura ya kitaifa

Katibu mkuu awe Muislamu tena Mwanamke 🐼
Swali ni je, mmachame ataachia??

Kumbuka ni chama chake (kama alivyosema mwenyewe kuwa ameweka fedha nyingi sana ktk hicho chama).
 
Back
Top Bottom