Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,412
- 3,596
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.
Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika ukumbi wa Nyakahoja, Mwanza, Heche amesema kwamba "tumefika hapa tulipo kwa sababu yake (Wenje)" huku akikemea vikali suala la rushwa ndani na nje ya chama cha CHADEMA.