John Heche akutana na Tundu Lissu Nchini Italia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
126,493
241,223
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mmoja wa wawakilishi wa Chadema kwenye Mazungumzo ya Maridhiano , John Heche , Amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu Nchini Italia .

FB_IMG_1664190513239.jpg
FB_IMG_1664190504763.jpg

Mpaka sasa bado haijafahamika ajenda ya kukutana kwao , Bali vikao vizito vimeonekana kuendelea kati yao .

Endelea kututegea sikio hapahapa JF kwa Taarifa zaidi .
 
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania.

Kupitia kampuni mpya ya Twiga Watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini. Lisu alilipwa na nani kuwadanganya Watanzania?

Lisu ni msaliti anayejiamini sana
 
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania. Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.
Lisu alilipwa na nani kuwadanganya watanzania?
------------ ------- ---------- --------

Lisu ni msaliti anayejiamini sana
Huyo aliekuambia tumelipwa bilioni 700 muulize zile trillion 360 ziliyeyukia wapi
 
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania. Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.
Lisu alilipwa na nani kuwadanganya watanzania?
------------ ------- ---------- --------

Lisu ni msaliti anayejiamini sana
JamiiForums-139524885_486x371.jpg
 
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania. Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.
Lisu alilipwa na nani kuwadanganya watanzania?

Lisu ni msaliti anayejiamini sana
😂🤣😂🤣😂🤣😂 Ningekuwa dodoma ningekuambia #TOKORIYAKO. Ila Kwa SASA niko #LONGIDO na mwanangu wa faida #LENGANASA tunakuambia Kijogoodi WEWE ni #NGOMOSI TU
 
Wanataka kumpindua mwenyekiti wao. Chadema kuweni makini Kuna mapinduzi ya uongozi yanaandaliwa na kuratibuwa na heche. Taarifa za ndani tunazo

Siungi mkono uenyekiti wa mbowe lakini siungi mkono mapinduzi yoyote, mbowe anapaswa kuondolewa kwa amani. Lissu amesaliti taifa anataka kusaliti na chama chake.
 
Uongo hautakusaidia chochote
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mmoja wa wawakilishi wa Chadema kwenye Mazungumzo ya Maridhiano , John Heche , Amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu Nchini Italia .

View attachment 2368707View attachment 2368708

Mpaka sasa bado haijafahamika ajenda ya kukutana kwao , Bali vikao vizito vimeonekana kuendelea kati yao .

Endelea kututegea sikio hapahapa JF kwa Taarifa zaidi .
Inajulikana Heche ndio mwenyekiti mpya wa Chadema
 
Back
Top Bottom