John Cheyo: Maandamano hayatufikishi popote

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
24,544
18,036
Ndugu zangu Watanzania,

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Screenshot_20240919-141026_1.jpg
Screenshot_20240919-141036_1.jpg
 
Surah Al-Ma'idah (5:8): "Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimama imara kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mkiwa mashahidi kwa uadilifu. Na chuki ya watu isikufanyeni kutokufanya uadilifu. Fanyeni uadilifu; hivyo ndivyo ilivyo karibu zaidi na uchamungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za yote mnayoyatenda."

Hapa, Allah anawaonya waumini wasiruhusu chuki au upendeleo kuathiri hukumu zao, na kwamba wanapaswa kuwa na uadilifu kwa watu wote.

Hadithi
Mtume Muhammad (S.A.W) alisema: "Hakika wenye haki watakuwa juu ya mimbari za nuru mbele ya Mwenyezi Mungu. Hao ni wale wanaohukumu kwa haki katika hukumu zao, na katika familia zao, na katika majukumu waliyopewa."
(Sahih Muslim, Hadith 1827)

Hii hadithi inaelezea wema na nafasi kubwa aliyonayo yule anayehukumu kwa haki, kwa kumueleza kuwa atapewa heshima ya juu mbele ya Allah S.W.

Hadithi nyingine kutoka kwa Abu Huraira (R.A) inasema: "Mtume (S.A.W) alisema: Siku ya Kiyama, Allah atamleta hakimu na atamuuliza: ‘Je, ulitumia ujuzi wako kuhukumu kwa haki?’ Atasema, ‘Ndio, Ewe Mola wangu.’ Kisha Allah atamuambia: ‘Nilijua namna ulivyokuwa ukihukumu, kwa hivyo ulitakiwa kuhukumu kwa haki au la?’"
(Sahih Muslim)Hadithi hii inakumbusha kwamba kila hakimu au mtu anayehukumu atasimama mbele ya Allah siku ya Kiyama na kuulizwa kuhusu uadilifu wake katika kutoa hukumu.
 
Ni bore umetukumbusha hilo. Lakini Viziwi watasikia?
 
Mzee Cheyo mara zote ni ndumila kuwili hafahamu nini anachokitaka!
Mzee anafahamu tulikotoka na tulipo .anafahamu vyema historia ya Taifa letu.ndio maana anapinga na kukemea vikali sana habari za maandamano
 
Atulie tu tuli apumzike tu
Aache uchawa

Ova
Ameongea ukweli kabisa ambao unaungwa mkono na mamilioni ya watanzania.hakuna anayehitaji habari za maandamano. Huku watoto wa viongozi wa CHADEMA wakiwa huko ulaya na Marekani wakila kuku kwa mrija.huku wakiwa na uraia wa huko huko.
 
Mzee anafahamu tulikotoka na tulipo .anafahamu vyema historia ya Taifa letu.ndio maana anapinga na kukemea vikali sana habari za maandamano
Muulize tangu 2021 ameitisha mikutano mingapi ya hadhara na ilifanyika wapi?
Akikujibu tafakari mtu kama huyo ana uwezo wa kuitisha maandamano?
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3100429View attachment 3100430

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Yakiwa maandamo ya kupongeza Jambo flan je yanakuwa na sehemu yanatufikisha?

Logic ya kuweka Ruksa ya maandamano kwenye katiba ni nini?

I think kuzuia watu kuandamana ni bomu kubwa kuliko watu kuandamana

Chedema hawana hiyo nguvu ya kuandamana na kuleta vurugu kwanza hao watu wenyewe wa kuandamana hawana

Kuwazuia ni kuwaonesha wao ni wakubwa

Simple thing ni kuwaacha waandamane
 
Kumuuliza PS maswali magumu hivyo ni kutomtendea haki
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3100429View attachment 3100430

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kuna watu watakao kasirika na
kupatwa mihemko na ghadhabu, kwasababu tu Mzee cheyo amesema ukweli...
 
Back
Top Bottom