John Cena Atangaza Kustaafu Kucheza Mieleka (WWE) Ifikapo 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Jul 20, 2023
265
583
1720689808494.png

Mcheza mieleka na mwigizaji maarufu kutoka Marekani John Cena, ametangaza kustaafu kushiriki katika Mashindano ya Mieleka (WWE) wakati wa hafla ya WWE Money in the Bank iliyofanyika Canada tarehe Julai 6, 2024.

John Cenna amesema atashiriki mashindano yake ya mwisho yatakuwa mwaka 2025 kama sehemu ya ziara ya kuaga mashabiki zake.

Safari ya John Cena kwenye Mchezo wa Mieleka:
  • John Felix Anthony Cena (John Cena) alizaliwa Aprili 23, 1977, West Newbury, Massachusetts, Marekani. Ni mchezaji wa Mieleka, mwigizaji, na mwandishi ambaye alijipatia umaarufu kwa mara ya kwanza kupitia mashindano maarufu ya mieleka Duniani 'World Wrestling Entertainment' (WWE).

  • John Cena alianza kujikita kwenye kunyanyua vyuma akiwa kijana mdogo na baadaye kujiunga na chuo cha Springfield huko Massachusetts kwenye taaluma ya kujenga mwili. Mnamo mwaka 1998 alifanikiwa kupata shahada ya Fiziolojia ya mazoezi kutoka Chuo hicho.

  • Mwanamieleka huyo mwenye umri wa miaka 47, alianza kucheza mieleka miaka18 iliyopita na amefanikiwa kuwa Bingwa wa Dunia mara 16 tangu ajiunge (WWE) mwaka 2001

  • Julai 6, 2024 ametangaza kustaafu kushiriki katika Mashindano ya Mieleka (WWE) wakati wa hafla ya WWE Money in the Bank iliyofanyika Canada na kuahidi kushiriki mchezo huko kwa mara ya mwisho mwaka 2025 kama sehemu ya ziara ya kuaga mashabiki zake.

=============For English Audience Only=============
US actor and wrestler John Cena has announced he is retiring from competing in World Wrestling Entertainment (WWE) events.
Cena made the surprise announcement to fans during an appearance at the WWE Money in the Bank event in Canada.

The 47-year-old, who made his move into acting 18 years ago, said his final in-ring competition will be in 2025 as part of a farewell tour.
Cena is often regarded as one of the greatest professional wrestlers of all time and achieved world champion status 16 times since joining WWE in 2001.

"Tonight I officially announce my retirement from the WWE," he told fans in Toronto who reacted with surprise and later chanted "thank you Cena".
"What an incredible gesture of kindness," he replied.

Wearing a t-shirt emblazoned with the words "The Last Time is Now" and his trade mark "jorts" [denim shorts], he thanked WWE fans for "letting me play in the house that you built for so many years".
In a press conference later, he said he intended to remain part of the WWE family in some capacity despite feeling "at my end" physically.
SOURCE: BBC

Ukiacha fanya jambo fulani lililokuwa linatumia nguvu kiasi fulani .... Miguvu inaongezekaa
Ivi huyu jamaa wakati akifanya lile jambo la faraghaa counter part (ke) si anakuwa na ka woga sanaaa?
 
Huwa hawastaafu ila wanachukua mapumziko kufanya ishu nyingine kama uigizaji.

Mfano ni the people's champion...the rock alipumzika kipindi kirefu kisha akarejea tena.

Goldberg, Sting, jericho n.k
 
John cena ajashinda pambano lolote toka 2018 mpaka leo tc disrespective for him Tripple H anamuandikia script za kupigwa tu
Mwamba kaona isiwe tabu niwaachie kampuni yenu but ni moja ya wanamieleka bora wa muda wote
Top 6 greatest of all time in wwe
1 stone cold steve austin
2. The rock
3. Johncena
4. Hulk hogan
5. Undertaker
6. Ric flair
 
Wale ni entertainers tu..... professional wrestlers. WWE ni scripted mwanzo mwisho...sasa respect ya kupewa ushindi sidhani kama ina maana yoyote. Kikubwa ni mikataba..John Cena analipwa pesa nyingi sana na WWE. Hata akipewa scripts za kuwa jobber haina shida as long as anavuta mkwanja mnene.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom