Jogoo anajuaje kama asubuhi imefika aanze kuwika?

Corluka Neven

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
316
339
Jogoo anajuaje kama sasa hivi ni alfajiri au jioni imefika?

Na kukisha pambazuka hawiki tena? Kwanini wasiwike muda wowote saa yoyote?
images(0).jpeg
 
Mungu fundi sana...hawatumii saa wanazotumia binadamu lakini jogoo hawakosei muda wa kuwika. Ujue wanyama wana akili kuzidi binadamu.....ila sema binadamu anakiherehere kujifanya anajua kumbe hamna kitu..hadi aweke alarm nayo anaweza asiisikie :cool:
 
Jogoo ana uwezo wa kutambua wakati wa alfajiri na jioni kwa kutumia mchanganyiko wa mambo kadhaa:
  1. Mwanga wa Asili: Jogoo anaweza kugundua mabadiliko ya mwanga. Wakati wa alfajiri, mwanga wa jua unaanza kuonekana, na wakati wa jioni, mwanga unaanza kupungua. Hii inamsaidia kujua wakati wa kuwika1.
  2. Saa ya Kibiolojia: Jogoo ana saa ya ndani (circadian rhythm) ambayo inamsaidia kutambua mzunguko wa siku na usiku. Hii inamfanya awe na ratiba ya kawaida ya kuwika asubuhi na jioni1.
  3. Tabia ya Mazingira: Jogoo anaweza pia kujifunza kutoka kwa mazingira yake. Ikiwa kuna kelele au shughuli nyingi wakati fulani wa siku, anaweza kuhusisha wakati huo na kuwika
 
Umejibu ki sayansi swali lisilopaswa kujibiwa kisayansi
Mwanga wa Asili: Jogoo anaweza kugundua mabadiliko ya mwanga. Wakati wa alfajiri, mwanga wa jua unaanza kuonekana, na wakati wa jioni, mwanga unaanza kupungua. Hii inamsaidia kujua wakati wa kuwika1.
yamkini hata ukiweka taa kwenye banda lao na kuwe na geti kwa namna yoyote ile ikifika saa9 lazima awike tu!!

Itoshe kusema wanaupeo zaidi zaidi ya binadamu. Amini hili kama jogoo wako huwika saa9:00 basi muda huohuo ukifika atawika sambamba na punda na kuna baadhi ya ndege sisi tuliowahi ishi maporini tuna wajua wale ndege

saa 9 wana mlio wake na saa9:30 au zaidi na wa wale wa saa12:00 pia wanakuwa na mlio wake.

fanya research mkuu utakubaliana na haya
 
Back
Top Bottom