Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 351
- 721
Umeambatanisha picha ya utotoni. Ungeweka hii hapa ya ukubwaniRais Joe Biden ametoa msamaha " kwa mtoto wake Hunter Biden, dhidi ya mashitaka yanayomkabili katika taarifa iliyotolewa na Ikulu Desemba 1, 2024.Hunter Biden alikua akisubiri kusomewa hukumu ya mashitaka yake Desemba, 2024
Septemba 2024 mtoto wa Rais wa Marekani, Hunter Biden (54) alikutwa na hatia ya kumiliki silaha kinyume cha sheria, matumizi ya Dawa za Kulevya pamoja na kukwepa kulipa kodi
Aidha, Juni 12, 2024 Rais Joe Biden alisema ataheshimu uamuzi wa Kisheria wa Mahakama baada ya Mwanaye kupatikana na hatia na kukabiliwa kifungo cha hadi miaka 25 jela
Ni kawaida kwa Marais wanaomaliza muda wao kutoa msamaha kabla ya kuondoka katika nafasi hiyo ambayo inafuta makosa ya jinai
=============For English Audience==========
Statement from President Joe BidenToday, I signed a pardon for my son Hunter. From the day I took office, I said I would not interfere with the Justice Department’s decision-making, and I kept my word even as I have watched my son being selectively, and unfairly, prosecuted. Without aggravating factors like use in a crime, multiple purchases, or buying a weapon as a straw purchaser, people are almost never brought to trial on felony charges solely for how they filled out a gun form. Those who were late paying their taxes because of serious addictions, but paid them back subsequently with interest and penalties, are typically given non-criminal resolutions. It is clear that Hunter was treated differently.
The charges in his cases came about only after several of my political opponents in Congress instigated them to attack me and oppose my election. Then, a carefully negotiated plea deal, agreed to by the Department of Justice, unraveled in the court room – with a number of my political opponents in Congress taking credit for bringing political pressure on the process. Had the plea deal held, it would have been a fair, reasonable resolution of Hunter’s cases.
No reasonable person who looks at the facts of Hunter’s cases can reach any other conclusion than Hunter was singled out only because he is my son – and that is wrong. There has been an effort to break Hunter – who has been five and a half years sober, even in the face of unrelenting attacks and selective prosecution. In trying to break Hunter, they’ve tried to break me – and there’s no reason to believe it will stop here. Enough is enough.
For my entire career I have followed a simple principle: just tell the American people the truth. They’ll be fair-minded. Here’s the truth: I believe in the justice system, but as I have wrestled with this, I also believe raw politics has infected this process and it led to a miscarriage of justice – and once I made this decision this weekend, there was no sense in delaying it further. I hope Americans will understand why a father and a President would come to this decision.
🤣😂😃Wanapenda kukopi ya hivi.Hii wasiione marais wa Africa
Wale wamarekani weusi wa Tegeta kwa ndevu watashangilia hili,Uhuru wa mahakaman upo wapi sasa?. Angesubir hukumu kwanza.
We ngoja waje Wamarekani wa Makambako uone watakavyosifia ila angefanya Kizimkazi hakuna neno baya ambalo asingeitwa siku ya leo.Wale wamarekani weusi wa Tegeta kwa ndevu watashangilia hili,
Ila ingekua imefanywa na kiongozi wa Africa wangetema povu kama lote.
hapo amewajibishwa nini zaidi msahama wa hovyo kwa mhalifu huyoSheria za marekani ziko vizuri sana.yeyote zinamwajibisha hata kama mtoto wa rais.Kwa Tanzania nani mwenye ubavu wa kumshitaki mtoto wa rais anapofanya jinai?jibu ni hakuna mwenye ubavu.
Kitendo tu Cha mtoto wa bideni kufunguliwa mashitaka ni ukomavu wa mhimili wa mahakama wa marekani.kwa Tanzania nani mwenye ubavu huo wa hata kujaribu tu kumfungulia mashitaka mtoto wa rais?hapo amewajibishwa nini zaidi msahama wa hovyo kwa mhalifu huyo
ngoja january ifike kesi itaanza upya
Unga ujatolea maelezo anakesi ya UNGA akibwia mwenyewe!!!Wengi hamjaelewa hata.. , Rais akiwa anamaliza muda wake ana haki ya kikatiba ya kutoa msamaha kwa wafungwa mbalimbali. Hii hata huku kwetu ipo tena kwa muda wowote ndo maana unaskia wametolewa kwa msamaha wa Rais kwa mfano babu seya na nguza... wala Magufuli hakuingilia mhimili wa mahakama kwani ana haki kikatiba kama Rais kusamehe wafungwa
Biden hapo kajieleza sana maana anajua watu watamsema kwa kua ni mtoto wake, Makosa yenyewe ya kawaida sana alikosea kujaza fomu wakati ananunua silaha,kuchelewa(kukwepa) kulipa kodi
Huko democracy bado ipo juu sana, leo hii huku kwetu nani anaweza kwenda hata kumshika mtoto wa Samia eti hajalipa kodi?
Marekani hakujawahi kua na demokrasia na unafiq wao Joe alisema ataiachia mahkama imuhukumu hanta ila kaona awe yeye ndio mahkama bure kabisaWengi hamjaelewa hata.. , Rais akiwa anamaliza muda wake ana haki ya kikatiba ya kutoa msamaha kwa wafungwa mbalimbali. Hii hata huku kwetu ipo tena kwa muda wowote ndo maana unaskia wametolewa kwa msamaha wa Rais kwa mfano babu seya na nguza... wala Magufuli hakuingilia mhimili wa mahakama kwani ana haki kikatiba kama Rais kusamehe wafungwa
Biden hapo kajieleza sana maana anajua watu watamsema kwa kua ni mtoto wake, Makosa yenyewe ya kawaida sana alikosea kujaza fomu wakati ananunua silaha,kuchelewa(kukwepa) kulipa kodi
Huko democracy bado ipo juu sana, leo hii huku kwetu nani anaweza kwenda hata kumshika mtoto wa Samia eti hajalipa kodi?
Tofautisha mfungwa na mtuhumiwa.Wengi hamjaelewa hata.. , Rais akiwa anamaliza muda wake ana haki ya kikatiba ya kutoa msamaha kwa wafungwa mbalimbali. Hii hata huku kwetu ipo tena kwa muda wowote ndo maana unaskia wametolewa kwa msamaha wa Rais kwa mfano babu seya na nguza... wala Magufuli hakuingilia mhimili wa mahakama kwani ana haki kikatiba kama Rais kusamehe wafungwa
Biden hapo kajieleza sana maana anajua watu watamsema kwa kua ni mtoto wake, Makosa yenyewe ya kawaida sana alikosea kujaza fomu wakati ananunua silaha,kuchelewa(kukwepa) kulipa kodi
Huko democracy bado ipo juu sana, leo hii huku kwetu nani anaweza kwenda hata kumshika mtoto wa Samia eti hajalipa kodi?
Convict? Au ulikua unataka kumaanisha suspect?Tofautisha mfungwa na mtuhumiwa.
Nguza alikuwa mfungwa
Hunter hajahukumiwa bado ni convict.
Sheria zao za kindezi
Ila madawa noma mtoto kazeeka kuliko dingiUmeambatanisha picha ya utotoni. Ungeweka hii hapa ya ukubwaniView attachment 3167286