Jobless, naomba msaada wa vitu productive ambavyo naweza fanya online nikapata japo pesa ya chai

doomedcity

Member
Apr 8, 2023
65
144
Habari, kwa muda mrefu nimekua nikitafta nafasi ya kazi hata ya kujitolea katika hospital hapa dar es alaam bila mafaniko.

Elimu yangu ni diploma in medical laboratory science with more than 3 years of job experience.

Naomba mwenye ideas ya kitu chochote productive online hata offline niweze ku perfome ili atleast nipate chochote na nijiweke busy.

Nina internet access almost all the time plus smart phone na pc.

Mnakaribishwa wakuu.

Mchango wako ni muhimu sana.
 
Mchango wako ni muhi

Wapatikana wapi
 
Sina uzoefu na hilo ila Mungu akuonekanie mkuu. Upate hivyo vya online ufanye muda wa ziada na akupe kazi uliyosomea!
 
Habari, kwa muda mrefu nimekua nikitafta nafasi ya kazi hata ya kujitolea katika hospital hapa dar es alaam bila mafaniko.

Elimu yangu ni diploma in medical laboratory science with more than 3 years of job experience.

Naomba mwenye ideas ya kitu chochote productive online hata offline niweze ku perfome ili atleast nipate chochote na nijiweke busy.

Nina internet access almost all the time plus smart phone na pc.

Mnakaribishwa wakuu.

Mchango wako ni muhimu sana.
Ingia Ilala boma au Karume km una 50k nenda asubuhi sana saa 10/11 upo pale kapoint raba za 5000/7000 mpaka 8000 zinakua Kali mtumba Grade A, ukishachukua Raba zako kadhaa uza online kuanzia 10,000, 12,000, 15,000 mpaka 20,000 itategemea na quality ya Raba hapo utarudisha pesa yako na faida juu, always mwanzo mgumu Ila mafanikio yoyote yanahitaji muda na nafasi

Post kwenye social media zote na e-commerce website zote km Jiji, kupatana, zoom, etc utapata wateja tu na watanunua ukileta hata humu JF huwezi kukosa wateja watanunua
 
Kama unaitaka mali,utaipata shambani...wewe umekalia kulialia humu unataka hela za kuokota,maisha hayakupi nafasi hyo na utasota sana..

1.Alikiba analima!!
2.Millard ayo analima!!
3.Hussein bashe analima!!
4.Hamisi kigwangala analima!!
5.Mimi MAWEED na degree zangu nalima!!.

wewe na kadiploma kako unataka kazi lainilaini,unaakili timamu.

Mzee mwenzangu mshamba_hachekwi mshauri kijana anapotea huyu
 
Kulima kuna hitaji Mtaji napo ni kubet pia. Mleta maada inaonesha hana hizo pesa za kilimo anatafuta apate chochote kitu. Sometimes tuwe matured kulima ni pesa.
 
Itakuwa vyema sana kama ww ni mpenzi sana wa mitandao na pia unapenda kufanya uandisha, itakuwa vzuri sana ukifungua blog yaani website alafu ukwa una post vitu watu wanasoma kwasababu pc, na access ya internet unayo ninjia rahisi sana kutengeneza pesa kupitia matangazo ukiwa creative na ujanja mwingi itachukua muda mfupi tu.
 
JF sijui imekuwaje siku hizi.

Mtu anauliza swali la namna hii anapewa majibu nje ya content.

Anyway, mi hata simwagi mchele kwenye kuku wengi, humu wengi wanajua na wengi hawana kazi lkn wana maisha zaidi ya wafanyakazi kupitia madeal huko , mitandaoni.

Sina la kukusaidia ndugu, nikupe tu mwongozo nenda kagoogle ''Sites that pay by doing online works, humo utakutana na online surveys, Testing sites, gaming tests, Apps testing works, na mengi zaid kuwa mbunifu na kubali kujifunza, masuala ya deals online hayahitaji haraka wala papara, bali kujitoa kimuda, kiakili na kisaikolojia maana utahitaj kufanya mambo huko yatakayo maliza bando lako na pesa zako mwezi mzima usiambulie hata shilingi mia, lkn baada ya kumaster utaingia ktk level za hawa wachoyo ama sisi wachoyo ambao hatumwagi mchele kwenye kuku wengi.

Jambo tulilolitolea jasho huwa hatuligawi bure kwa kuhofia....

Kubali kujifunza, ukija kwangu njoo na hela ya maji nikupe tricks za kudownload pesa mtandaoni, japo si rahisi, but for your risk andaa 50k PM nikupe tricks,

Mark this usiri ni muhimu, hatutoi deal bure.
 
Back
Top Bottom