Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,416
- 73,043
Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi.
Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa.
Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na wale watoboa pua, kuvaa heleni na kupaka ma bleach wanaojiita Wasanii wasambaze huo uongo na kusifia sifia wakikata viuno.
2025 kama uchaguzi utakuwepo baada ya reform tutafanya maamuzi yatakayo washangaza wengi.