Kuna jipu lingine likikamuliwa waeza pata ukilema mkuu so bora lipotee lenyewe au lihamie kwingneMajipu majipu majipu!?
Ovaaa
Poleni sana. Mtaendelea kuumia mpaka mnaingia kaburiniMagufuri inabidi awe anaturn down requests za kumuona kutoka kwa huyu bwana - kama anavyokataa kuonwa na Mabalozi wa nchi mbalimbali. JK hana aibu hata kidogo.
JK ni Mwenyekiti wa CCM, chama ambacho kimeshinda uchaguzi na kinashika dola chini ya Rais Magufuli. Hakuna cha ajabu hapo
Nahesabu ni mara ngapi rais mstaafu amemtembelea rais aliyeko madarakani. Sihitaji kujua anatafuta nini lakini siyo dalili nzuri kwa mstaafu kurudi rudi ofisi uliyotoka. Kwa ajira zingine utaitwa mtu unayesikitika kuacha kazi.
JK alipoingia madarakani mbona hakutemebelewa na Mkapa mara nyingi kwa muda mfupi kama huu? Hakuna anayetaka kuingiliwa ktk utawala wake.
Nani kakwambia anaumia? Kaburini utatangulia wewe.Poleni sana. Mtaendelea kuumia mpaka mnaingia kaburini
JK ni Mwenyekiti wa CCM, chama ambacho kimeshinda uchaguzi na kinashika dola chini ya Rais Magufuli. Hakuna cha ajabu hapo
Nasikia juzi kuna mtu ameitwa Ikulu , akaambiwa akafunge yale maduka yake ya Unga yaliyoko Kariakoo....
Anajijua hiyo jamaa....manake hata humu yupo.....
Na ndo jk anajaribu kwenda kusawazisha......
M16 kazini..
Hao wazungu hawakumaanisha hiyo "site" yako.Waingereza wana kamsemo kao kaendako hivi: "Out of site, out of mind!"; yawezekana JK anakatilia maanani sana kamsemo hako; kwa hiyo anajitahidi kujipitishapitisha ikulu mara kwa mara ili JPM asije kumsahau akamtumbu jumla kama jini lililosahaulika!
The guilty are always afraid; tumuache aendelee kujipilikicha.