sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,278
- 7,916
*JITIBU NYUMBANI KWAKO*
*KIUNGULIA*
Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka
*KUZUIA KUHARISHA*
Kamua maji ya chungwa lita1
Kunywa glass1 kutwa mara 3
Kuharisha kutakata
*HAMU YA KULA*
Andaa juice ya machungwa usichanganye na chochte
Kunywa glass moja siku mara3 mpk iishe
Hamu ya kula itakuja
*KIDONDA SUGU(kisichosikia dawa)*
Yaponde maua ya mchungwa mpaka yawe laini kisha weka kwenye kidonda baada ya kukiosha kitapona
*MAGONJWA YA NGOZI*
Osha sehemu iliyoathirika ponda maua ya mchungwa na pakaa sehemu iliyoathirka kutwa mara 2 patapona
*MAPUNYE NA FANGASI*
Chukua majani laiini ya mchungwa yaponde mpk yalainike kisha pakaa palipoathirika
*VIDONDA VYA TUMBO*
Anika maganda ya parachichi mpaka yakauke vizuri
Yatwange upate unga
Chota unga huo vijiko viwili changanya na asali safi vijiko viwili kula asubuhi na jioni kwa wiki1
*TUMBO LA HEDHI*
Chemsha majani ya mparachichi
Kunywa glass1 asubuhi na jioni siku7
*ANAYEKOJOA KITANDANI*
Chemsha ndevu za mahindi anywe kikombe cha chai asubuhi na jioni $iku3-7
*MATATIZO YA FIGO*
Chemsha ndevu za mahindi chuja kunywa kikombe cha chai kutwa mara 3 siku 11-21
*ASIYEONA VIZURI*
Achemshe mizizi ya mahindi chuja kunywa glass1 Kutwa mara 2 kwa siku3
*MALARIA*
Chukua ndimu7,zikamue kwenye glass.
Andaa glass1 ya maji ya dafu
Changanya kunywa kutwa mara2 mpk upone
*KUTOA SUMU MWILINI*
Kunywa nusu glass ya maji ya ndimu kila mwezi kwa muda wa miezi 2 sumu itaondoka
_____________________________________
*DARSA HII USI EDIT CHOCHOTE, WALA USIBADILI CHOCHOTE, WALA USIWEKE JINA LAKO TU SHARE KWA WATU UWEZAVO WAPATE FAIDA IN SHAA ALLAH..*