Jirani yangu ana kidonda kisochopona mwaka wa 6 sasa, watu wanakiita eti (Donda ndugu)

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Nini maana yake hii? Najiuliza
Kalogwa?
Ni mchafuko wa damu?
Na kinaponaje hiki kidonda?
Nini chanzo chake, maana jamaa anatoa harufu mbaaaya mwaka wa sita sasa.
 
Ulce
Nini maana yake hii? Najiuliza
Kalogwa?
Ni mchafuko wa damu?
Na kinaponaje hiki kidonda?
Nini chanzo chake, maana jamaa anatoa harufu mbaaaya mwaka wa sita sasa.
Ulcer ndo donda ndugu inaweza kuwa anakisukari ndo maana hakiponi au HIV otherwise awaone madaktari wampatie antibiotics kabla hakijafika mbali
 
kuna vidonda vya shirki ya utajiri...embu niambie hali yake ya kiuchumi...?..
 
Huyo jirani yako mkuu kajila ndagu.

Usithubutu kumtafutia dawa maana utajili wake wote utapukutika kama majani wakati wa kiangazi yapukutikavyo kutoka mtini.
 
Kwani amekutuma umwongelee humu kwanini usimuulize ili umshauri mpeleke hospitali?
 
Kwanini usimuulize yeye, unavyofanya siyo sawa kutaka kujua ugonjwa wa jirani yako maana ni siri
 
Huyo jirani yako mkuu kajila ndagu.

Usithubutu kumtafutia dawa maana utajili wake wote utapukutika kama majani wakati wa kiangazi yapukutikavyo kutoka mtini.
Hana utajiri ni fundi baiskel kidonda miaka 6 sasa
 
Basi hiyo pengine ni ugonjwa wa KISUKARI MKUU KAMA WADAU WENGINE HAPO JUU WALIVYOKOMENTI.
 
Inawezekana hana ugonjwa wa kisukari.Kuna ugonjwa fulani ( wataalamu watuambie) Mtu akiwa na kidonda kinatakiwa kikwanguliwe mpaka mfupa uoneka halafu inakatwa nyama kwenye paja au kalio na kubandikwa .Baada ya hapo kidonda huanza kupona taratibu na mwisho kurudia hali ya kawaida.
 
Fanya kazi zako achana na kumchungulia jirani yako na kuleta umbea huku kana kwamba huna kazi ya kufanya.
 
Nini maana yake hii? Najiuliza
Kalogwa?
Ni mchafuko wa damu?
Na kinaponaje hiki kidonda?
Nini chanzo chake, maana jamaa anatoa harufu mbaaaya mwaka wa sita sasa.
Mwambie jirani yako kila anapo amka asubuhi mkojo wake wa mwanzo aukinge kisha ajimwagie kwenye kidonda chake afanye hivyo kwa muda wa siku 7 atapona hicho kidonda sugu.
 
Ulce

Ulcer ndo donda ndugu inaweza kuwa anakisukari ndo maana hakiponi au HIV otherwise awaone madaktari wampatie antibiotics kabla hakijafika mbali
Kuwa na kidonda kisichopona ..ulcer si lazima MTU huyo awe ni HIV pos au ni Diabetic kunaweza kuwa na sababu zingine.

Sababu zingine inaweza kuwa
Peripheral neuropathy...Neva za fahamu za pembeni kuwa na maradhi yake

Circulation problems. Mzunguko wa damu kuwa na shida kiasi cha kushida kufika maeneo yote hasa kidonda kilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…