Jipatie Universal 4G LTE MiFi router

Banned

Member
Apr 7, 2013
47
13
Heshima yenu wana Jamvi.

Ninauza Universal 4G LTE MiFi router(router ya 4G inayoingiza line mtandao wowote.
Router hii ina sifa zifuatazo
  1. Inaingiza line zote
  2. Inaruhusu 3G au 4G kulingana na eneo ulipo
  3. Speed mpaka 150Mbps
  4. Betri yenye uwezo 30000mAh, betri masaa mpaka 10
  5. Inaweza kuunganisha vifaa zaidi ya 10 kwa wakati mmoja ndani ya mita 10
  6. Inatumia Micro sim cards
  7. Charge ni type-C(Industry standard)
  8. Ni Plug and Play, inaweza kukamata APN nyingi za mitandao ya simu pasipo kuitaji configurations
  9. Ina LCD Screen ambayo inaweza kukuonesha mtandao, vifaa vilivyounganishwa na betri lipo level gani.

Kama utaitaji Unlimited bundles (ambazo haziishi mpaka mwezi uishe) tutakuunganisha kwa mitandao ya Vodacom na Halotel bei zake zinaanzia 50,000/=
Ila pia unaweza kutumia bundle za Airtel na Tigo SMEs ambazo zinakua nafuu zaidi

Bei ya router ni 65,000/=
Delivery inaweza kuwa Free ndani ya Dar kulingana na eneo lako na nje ya Mkoa(Cash on delivery)

Mawasiliano: +255 766 942 255

WhatsApp Image 2024-07-30 at 09.00.46.jpeg
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-07-30 at 09.00.44.jpeg
    WhatsApp Image 2024-07-30 at 09.00.44.jpeg
    59.6 KB · Views: 22
  • WhatsApp Image 2024-07-23 at 16.36.27.jpeg
    WhatsApp Image 2024-07-23 at 16.36.27.jpeg
    55.8 KB · Views: 22
Back
Top Bottom