Jipatie soksi mpya na viatu vya kiume vya mtumba

spodo

Senior Member
Feb 22, 2009
100
80
Tunauza soksi Mpya na viatu vya kiume vya mtumba.

Soksi/ pair 6,000/=, Ila ukinunua kuanzia pair 5 tunakuuzia soksi/pair Shilingi 5,000/=. Soksi Designs 4 zimebakia kama zinavyoonekana kwenye picha.

Viatu vipo vya aina nyingi na bei zinatofautiana.

Tunapatikana nyuma ya Chuo cha Ustawi wa Jamii (barabara ya hongera bar kutokea sayansi) karibia na Justice Lugakingira House, Kijitonyama.
Tembelea page yetu Instagram @bigdeal_mtumba_shoes uone bidhaa zetu
Call/Whatsapp 0716226374
b887c68fa0dc136a440792360dbbe5ea.jpg
 
Safi sana. Viatu vizuri mno.

Hivi hizi Namba za simu mnazoweka, zinapatikana???

Maana kuna mwingine aliwahi kuweka tangazo la Viatu alikuwa ni kutoka Mwanza. Ila nilipokwenda Mwanza niliipiga Namba ile ili nikanunue kwake, cha ajabu akanambia nimekosea Namba.

Kuna Viatu nimevipenda hapo ila sijajua ntakuja lini kwa Makonda.
 
Namba inapatikana na ndio namba ya biashara. Vilevile unaweza ukatucheki kwny page yetu ya Instagram @bigdeal_mtumba_shoes utaweza kuona viatu vyote vilivyopo, bei zake na size ya viatu.

Asante
 
Wanajamii forum ngoja nijibu baadhi ya hoja, najua ni rahisi kukosoa kuliko kufanya. Kwa mfano alichokisema Mwananchi ni kweli inawezekana hicho kiatu alinunua dola 10 Ila kukitoa huko Mpaka kifike Dukani kwako hautaweza kuuza dola kumi. Kuna gharama za usafiri, packaging, kodi za TRA, bado hujalipa kodi za pango, kodi TRA za kila baada ya miezi 3 nakadhalika. Kwahyo mtu ukiwa hufanyi biashara ni rahisi kukosoa Ila kama unafanya biashara na ni hali utanielewa. Ila nashukuru kwa mchango wako pia Mwananchi
 
Koh koh hv hawa wanaouza soksi buku buki jero hawalipi kodi nn??..

Bei ya soksi kwanza inategemea ni material gani? Ukienda alibaba kuna soksi Mpaka dola 0.2 kwa pair na kuna soksi Mpaka dol 2 kwa pair. Kwahyo cha kwanza ukiangalia hizo soksi unazosema na kama ni mtumiAji Utagundua ni rahisi kutoboka ukishafua Mara mbili au tatu.
Mwisho siku kama kungekuwa hamna value for money na hakika biashara ningeshapata malalamiko. Tafadhali Njoo tufanye biashara Hata pair moja halafu ww utalinganisha na kuniambia kuna utofauti mkubwa sana
 
Wanajamii forum ngoja nijibu baadhi ya hoja, najua ni rahisi kukosoa kuliko kufanya. Kwa mfano alichokisema Mwananchi ni kweli inawezekana hicho kiatu alinunua dola 10 Ila kukitoa huko Mpaka kifike Dukani kwako hautaweza kuuza dola kumi. Kuna gharama za usafiri, packaging, kodi za TRA, bado hujalipa kodi za pango, kodi TRA za kila baada ya miezi 3 nakadhalika. Kwahyo mtu ukiwa hufanyi biashara ni rahisi kukosoa Ila kama unafanya biashara na ni hali utanielewa. Ila nashukuru kwa mchango wako pia Mwananchi
Samahani lakini ila nilichomaanisha ni kwamba viatu Dar ni ghali sana labda kutokana na kodi ulizosema. Nimekuelewa mkuu na kiatu ni kizuri sana niliposhuka nacho Bongo kila mtu alitamani anivue nimuachie, ni pure leather, sorry nzuri na nyepesi, kinavaliwa kwa nguo zote jeans au suit, chepesi na utachoka kutembea. Kwa pesa ya Tz na kuzingatia na ubora wake nunueni. Kwanza 60 helfu ukitoka nayo inafaa nini ila kiatu utavaa mpaka ujisikie
 
Poa kaka nimekuelewa na uko sahihi
 
Back
Top Bottom