SOFTWARE Jipatie mifumo ya shule(School information system) and hospital,pharamcy cashier system

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,715
2,385
Napenda kuwasilisha kwenu wadau mifumo aina mbili ambayo ipo sokoni hivi sasa

1. School managements system

2. Hospital, pharmacy cashier system.

TUANZE NA SCHOOL INFORMATION SYSTEM.

Hii ni system ambayo inarahisisha ukokotozi wa marks za wanazunfinzi wa madarasa tofauti, mfumo huu unauwezo wa kutunza taarifa za wanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la saba, pia inauwezo wa kukaa na taarifa za wanafunzi kwa Zaidi ya miaka 120.

Kwasasa version ya primary school ipo tayari, soon version ya secondary itakuwa tayari

login option.PNG



JINSI NFUMO HUU UNAVYO FANYA KAZI
Kwasasa: kuna dashboard mbili (2)

1. Super user au Admin

2. Staff au teachers


SUPER USER OR ADMIN

Hii dashboard ndio inacontral all users kwenye mfumo huu, katika shule mtu atakae pata access ya kuingia hii dashboard ni headmaster, second au academic teacher, shughuli zinazo fanyika kwenye hii dashboard ni kama zifuatazo:
1. Student registration

student registration.PNG

print out baada ya registration
student regform.PNG


1. Editing student information if possible
student Edit.PNG

3. Staff or teacher registration and assign previllage to user

4. Providing or assigning academic term, hii inawezesha mfumo kujua muhura wa elimu wakati wa kuchakata matokeo
5. Log management, hii inawezesha kujua nani, muda gani ameingia kwenye mfumo.. pia mfumo umauwezo kumrecord mtu yeyete atakae fanya changes katika student information
6.Leaving certificate printing, mfumo unauwezo wa kutengeneza leaving certificate kwa ajiri ya wanafunzi, ktk mfumo kuna template tatu za leaving certificate kwaiyo shule inachagua yenyewe ipo itumie katika mwaka husika
LEAVING.PNG

CERTIFICATE.PNG

7. Uploading student passport size to the system
8. Staff au users wanauwezo wa kuchart ndani ya mfumo huu, kutuma and kujibu sms
CHAT.PNG



STAFF OR TEACHERS
1. Teacher Login kwenye mfumo kwa username and password yakwake, pia huingia kwenye specifiki darasa and subject.
2. Update student results for specific subjects. Either by using excel sheets or direct kwenye system
mediterm.PNG

3. Chart , and send sms within the system

4. Kubadilisha profile yake, like password.
PROFILE.PNG

studentinfo.PNG


HOW SYSTEM CAN DO

Mfumo huu unafanya kazi zifuatazo
1. Kuakikisha taarifa za mwanafunzi au mwalimu hazijichanganyi na mwingine
2. Kutengeneza report za matokeo ya mwanafunzi
result.PNG
result.PNG

3. Create excel sheet for each class for bulk result upload
4. Automatic upgrade new class to each student at the end of the annual exam
font.PNG


MAZINGIRA YA MFUMO HUU KUFANYA KAZI

Shule iwe na computer angalau 2, hii ina maana computer moja itahusika na kutunza data, alafu computer nyingine ndo zitatumika kataka shughuli nyingine….. kwakua mfumo huu unatunza data/ taarfa za wanafunzi inashauliwa data zote zitunzwe katika eneo la shule…. Pia kama shule ikitaka tuweke online inawezekama lakini its not recommended

Printer moja kwa ajiri ya kuprint student result, registration form.

Kama shule ikiwa na computer lab itapendeza zaidi

Vitu vingine tutaangalia kutokana na structure and distance btn office



HOSPITAL OR PHARMACY CASHIER SYSTEM.
mfumo huu sasa unafanya kazi kwenye hospital kubwa tu.... siwezi kuweka kila kitu publically
Katika mfumo huu unamsaidia cashier wa hostal au pharmacy kufanya kazi zake vizuri kwa sifa zifuatazo.

Dawa zote + price zinawekwa kwenye mfumo huu

Service cost zoote eg, consultation fee, xrays, mri, ctscan nk zinawekwa kwenye mfumo huu.
hostpiat1.PNG


System inatoa receipt ya malipo
hostpiat2.PNG


hostpiat3.PNG

Mfumo unatoa report ya mauzo yoote.


Kwa mfumo huu kufanya kazi, unahitaji angalau computer moja + printer

CONTACT US kwa details zaidi


Mobile: 0765038814, 0674925934

WhatApp: 0765038814.

E-mail: emmachaz26@gmail.com
JF: jitu jeusi
mifumo ni mizuri sana
 
Aisee safi sana.

Vp mifumo ya maduka ya kawaida mfano hardware, duka la jumla la mahitaji ya nyumbani, mini supermarket n.k

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Ingia whatsApp unitumie-specification maana hii n issue ndogo sana

Kwasasa zilizopo tayari n primary school and cashier(hospital or pharmacy)
 
Back
Top Bottom