Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 968 1,400 Mar 31, 2017 #1 WanaJF nauza Kuku Chotara na pia ndegekanga kwa bei poa. Bei ni maelewano. Namba zangu za simu ni 0757 660 554.Nipo Arusha.
WanaJF nauza Kuku Chotara na pia ndegekanga kwa bei poa. Bei ni maelewano. Namba zangu za simu ni 0757 660 554.Nipo Arusha.
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 968 1,400 Mar 31, 2017 Thread starter #2 Bei ni maelewano kutegemea na umri,aina na uzito wa ndege unayemuhitaji. Karibuni.
U Upiversity JF-Expert Member Jun 19, 2015 3,487 2,631 Mar 31, 2017 #3 ...acha uvivu,weka bei elekezi kutegemea na hivyo vyote, ..ndo tuanze kuelewana sasa!
N Ndondobwila JF-Expert Member Jun 9, 2015 562 407 Mar 31, 2017 #4 Yudasti said: WanaJF nauza Kuku Chotara na pia ndegeView attachment 489309View attachment 489310kanga kwa bei poa. Bei ni maelewano. Namba zangu za simu ni 0757 660 554.Nipo Arusha. Click to expand... Wa Dar nitawapataje?
Yudasti said: WanaJF nauza Kuku Chotara na pia ndegeView attachment 489309View attachment 489310kanga kwa bei poa. Bei ni maelewano. Namba zangu za simu ni 0757 660 554.Nipo Arusha. Click to expand... Wa Dar nitawapataje?
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 968 1,400 Mar 31, 2017 Thread starter #5 Upiversity said: ...acha uvivu,weka bei elekezi kutegemea na hivyo vyote, ..ndo tuanze kuelewana sasa! Click to expand... Mkuu naomba utupigie tutakusaidia vizuri kuliko kutoa kashfa kwamba ni uvivu.
Upiversity said: ...acha uvivu,weka bei elekezi kutegemea na hivyo vyote, ..ndo tuanze kuelewana sasa! Click to expand... Mkuu naomba utupigie tutakusaidia vizuri kuliko kutoa kashfa kwamba ni uvivu.
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 968 1,400 Mar 31, 2017 Thread starter #6 Ndondobwila said: Wa Dar nitawapataje? Click to expand... Mkuu kwa Dar hatuna ofisi ila tunaweza kukutumia mzigo kama utahitaji.
Ndondobwila said: Wa Dar nitawapataje? Click to expand... Mkuu kwa Dar hatuna ofisi ila tunaweza kukutumia mzigo kama utahitaji.
U Upiversity JF-Expert Member Jun 19, 2015 3,487 2,631 Mar 31, 2017 #8 Yudasti said: Mkuu naomba utupigie tutakusaidia vizuri kuliko kutoa kashfa kwamba ni uvivu. Click to expand... ...uvivu sio kashfa,ni SIFA isiyopendeza! ..mi mwenyewe najijua mvivu wa kupiga simu ndo mana nikakomenti vile!
Yudasti said: Mkuu naomba utupigie tutakusaidia vizuri kuliko kutoa kashfa kwamba ni uvivu. Click to expand... ...uvivu sio kashfa,ni SIFA isiyopendeza! ..mi mwenyewe najijua mvivu wa kupiga simu ndo mana nikakomenti vile!
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 968 1,400 Mar 31, 2017 Thread starter #9 Bushman2 said: Natafuta kuku kama hao ila nipo mza Click to expand... Sawa tupigie au tupe mawasiliano yako tukutafute.
Bushman2 said: Natafuta kuku kama hao ila nipo mza Click to expand... Sawa tupigie au tupe mawasiliano yako tukutafute.