Jipatie CCTV Camera Bora na za kisasa uweze kutizama eneo lako kila unapokwenda kwa gharama rafiki

PrimeTech255

Member
Jan 16, 2024
21
11
Kuna machaguo mbali mbali ya Cctv Camera mfano HIK VISION,Dahua, nk ila Leo Ninakuletea chaguo jipya sokoni na hii ni "Ezviz"

PXL_20240330_125419201.jpg
Yes
"Ezviz" Wametoa Cctv Camera zisizohitaji waya Wala vifaa vya ziada kama DVR/NVR ili ziweze kufanya kazi Bali kwenye hizi camera unahitaji tu Internet na Kila kitu kimeisha yaani hapo utaoona Kila tukio linaloendelea na hakika usalama wa eneo lako utaongezeka Kama sio kuimarika.

PXL_20240331_062746917.jpg

Hizi CCTV zinapatikana Kwa Tsh 165,000 na zinakuwa na memory card GB 32 Kwa ajili ya kutunza matukio ya Kila siku.

PXL_20240330_125306868.jpg

Kama upo mkoani usiwaze kuhusu fundi na namna ya kuzifunga Cha kufanya piga hizi namba na Kila jambo litakaa mahali pake 👇

0765576003 / 0715909419

Tunapatikana Dar es Salaam Tanzania
Karibu Kwa maswali na ushauri Kwenye masuala ya Cctv camera 🙏
 
Attachments

  • PXL_20240330_123424481.jpg
    PXL_20240330_123424481.jpg
    2.5 MB · Views: 10
  • PXL_20240330_124502763.jpg
    PXL_20240330_124502763.jpg
    1.6 MB · Views: 11
  • PXL_20240330_124610761.jpg
    PXL_20240330_124610761.jpg
    3.2 MB · Views: 9
  • PXL_20240330_125336216.jpg
    PXL_20240330_125336216.jpg
    1.6 MB · Views: 8
  • PXL_20240331_062550307.jpg
    PXL_20240331_062550307.jpg
    2.2 MB · Views: 9
  • PXL_20240331_062805779.jpg
    PXL_20240331_062805779.jpg
    1.9 MB · Views: 7
  • PXL_20240331_062801440.jpg
    PXL_20240331_062801440.jpg
    1.7 MB · Views: 8
  • PXL_20240331_062625405.jpg
    PXL_20240331_062625405.jpg
    2 MB · Views: 9
Duh! Kwa hiyo hiyo kitu inatakiwa muda wote iwe na mb za kutosha! Na ina warranty?
 
Duh! Kwa hiyo hiyo kitu inatakiwa muda wote iwe na mb za kutosha! Na ina warranty?
1.Kama umemanisha mb za kifurushi ni kuwa tunamshauri mteja awe na Internet ya unlimited (zuku fibre, simbanet , Airtel router nk).

2.Kama umemanisha mb za memory card ni kuwa kadri memory card inapokuwa kubwa ndipo unaipa Camera yako uwezo wa kurekodi matukio pasipo kufuta mapema.

3.Na mwisho hizi camera zinakuja na warranty ya Mwaka mmoja.
🙏
 
Camera inayotunza data yenyewe hiyo ni show haina msaada wowote. Jamaa wanakuja wanang'oa na kuodoka nayo basi biashara inakuwa imeishia hapo.
 
Camera inayotunza data yenyewe hiyo ni show haina msaada wowote. Jamaa wanakuja wanang'oa na kuodoka nayo basi biashara inakuwa imeishia hapo
1.Kwanza ni kweli Camera yoyote Ile inaweza kuwa attacked na wezi ama watu wenye Nia mbaya haijalishi ni wired au wireless ama matukio yanahifafhiwa Wapi!.

2.Ni kweli mfumo wa kuhifadhi Kwa njia ya Hard Disk Drive ni salama Kwa sababu camera haipo sehemu moja na taarifa zinapohifadhiwa. Twende Sasa kwenye hizi camera ulizozizungumzia 👇

3. Hizi camera za Ezviz Zina njia mbili za kuhifadhi matukio 1.(Njia ya Memory card) 2.Cloud storage; maana yake taarifa zote zinazorekodiwa hazipatikani kwenye camera(memory card)tu Bali Kuna upande mwingine wa kidigitali unaohifadhi hizo taarifa (video picha na matukio Kwa ujumla).
Hivo hata ikitokea mwizi ameondoka na Cctv camera Bado utaweza kupata matukio yako bila ugumu wowote na Kila kitu utakuwa nacho kupitia kifaa ulichounganisha (simu, laptop, desktop ama TV).na hadi Hilo tukio la mwizi kuishambulia Cctv litaonekana pia💪
Screenshot_20240402-122615.png

Hivo watengenezaji wa hizi camera Hilo waliliona mapema na walijua hiyo changamoto itatokea.

Hope nimeeleweka.🙏
Karibu Kwa maswali zaidi mkuu👇

+255 765 576 003
 
View attachment 2951460
Hivo watengenezaji wa hizi camera Hilo waliliona mapema na walijua hiyo changamoto itatokea.

Hope nimeeleweka.🙏
Karibu Kwa maswali zaidi mkuu👇

+255 765 576 003
Maanake ni kwamba nitahitaji account, ambayo mwisho siku nitatakiwa kuilipia hebu tiririka
 
Je hizi camera naweza kuziweka sehemu ambapo hapana umeme?? Kwamfano Mimi stoo yangu haina umeme
 
Maanake ni kwamba nitahitaji account, ambayo mwisho siku nitatakiwa kuilipia hebu tiririka
1.Kwa cloud storage ni kweli kuwa inahitajika subscription fee ili uweze kuendelea kuhifadhiwa matukio yako.

2.Hayo matukio ya kwenye memory card (playback ) Bado unaendelea kuyapata kwenye simu pasipo kutumia hiyo huduma ya cloud storage.
 
Je hizi camera naweza kuziweka sehemu ambapo hapana umeme?? Kwamfano Mimi stoo yangu haina umeme
Kwa hizo ulizoziona Hapo hapana zinahitaji zipate chanzo Cha umeme ndio ziweze kuanza majukumu ya ulinzi (surveillance)

Ila zipo Ezviz(Cctv Camera)za kuchaji Kila baad ya siku 120 chaji ikiisha unatoa unachaji unarudisha Tena inaendelea kupiga kazi.
IMG-20240329-WA0004.jpg

Karibu sana 🙏
0765576003
 
1.Kwa cloud storage ni kweli kuwa inahitajika subscription fee ili uweze kuendelea kuhifadhiwa matukio yako.

2.Hayo matukio ya kwenye memory card (playback ) Bado unaendelea kuyapata kwenye simu pasipo kutumia hiyo huduma ya cloud storage.
Mbona unaenda mbele unarudi tena nyuma? Hoja ilianzia kwenye wezi kuiba na kuondoka na camera, ukasema footage zinaweza served and be stored kwenye cloud, nikauliza tena manake ni kwamba utahitahitaji account na ambayo utailipia ili kuendelea kuhifadhi data zako, na malipo yatategemea ni kiasi gani unatarajia kuhifadhi. Sasa kwa nini usiwaeleze wateja wako watarajiwa ukweli wote.
Huwezi kuinstall CCTV camera alafu ukategemea SD iliyoko kwenye camera hayo ni matumizi mabaya ya pesa
 
Sioni kama Kuna mahali namchanganya mteja Wala naficha kitu mkuu
1.Cloud storage ni free Kwa mwezi mmoja tu baada ya hapo utalipia kadri utakavyoendelea kuhifadhi matukio yako.
2.Hatuweki camera ili ije iibiwe na mwizi Kwa sababu hizo camera sio Kila anaefika anaweza kuifikia Kwa wakati huo na hata ikitokea camera imeibiwa pia una option ya kuona matukio kupitia simu yako hata pasipo kutumia hiyo cloud storage (umuhimu zaidi wa cloud storage unakuja pale unapohitaji kuona tukio la muda mrefu ambalo memory card tayari imeshalifuta au unahitaji kuhifadhi matukio pasipo kuwaza kuwa storage itajaa).

3.Kuna case zinahitaji hizi camera unazoziona wewe ni matumizi mabaya mfano mteja anahitaji camera moja tu ama mbili vipi kuhusu hapa utaanza kumnunulisha mteja DVR/NVR, Power Supply, Coaxial Cables nk.

4.Mteja hataki nyumba yake ipitishwe waya na muda huo huo anaiweka Kwa muda mfupi tu (temporary )vipi hapa utampa option Gani!?

Naendelea kupata mawazo na utaalamu wako ila Kila case inahitajika solution yake na sio Kila jibu linafiti mahali pote
Karibu🙏
0765576003
 
Camera moja ndio 165000?

Kazi ni kipimo Cha utu
Hujakosea mkuu pisi moja ni Tsh 165,000 ikiwa na memory card yake 32GB (Upekee na utendaji kazi wake ndo umeamua bei)

Ila dukani tunazo camera za kuanzia 45,000 hivo hiyo ni bei ya hii camera tunayoizungumzia hapa!!
 
Back
Top Bottom