Augustine Aloyce
Member
- Oct 8, 2018
- 26
- 15
Katibu mkuu π€Well said mkuu
Well said mkuu
Hakika inafaa sana kuzitathimini njia zetu za maisha ya kila siku ili kureview na kutengeneza hatima iliyo sahihi kwa kesho zetu zilizobora...Mambo ni mengi
Naomba nawe mchango wako maana tuko hapa kujifunza kila iitwapo leo ndio maana halisi ya Binadamu no one is perfect πKwanini mnapenda kutaja neno Adui ?
Asilimia kubwa mnashindwa kufundisha watu namna sahihi ya kuwa responsible na maisha yao.
Karibu sana ndugu...Sawa mkuu
Hakika tena yenye kutengenezwa na kila anaeishi...Maisha ni HADITHI tu,,,,,,,,,