Augustine Aloyce
Member
- Oct 8, 2018
- 26
- 15
Good Morning 🌞 for Everyone.
2025
Jipange upya njia uliyoitumia kuyaendea mafanikio na plan zako mwaka 2024 usikubali kurejea nayo kwani adui wamekutegea mikwamo mingi sana pengine mwaka 2025 usifike hata robo ya safari yako ya mafanikio,
Ninachotamani uelewe ni hiki hapa!!
Umekuwa ukifanya Shughuli, Kazi au Biashara kwa mazoea ndio maana matokeo uliyonayo hivi sasa hayaridhishi,
Waza plan uliyoiweka wakati mwaka 2024 ulivyokuwa unaanza mpaka sasa mwaka unaisha umitimiza kwa % ngapi???🤷♂️
Unahisi ni kitu gani kilichokukwamisha kutokutimiza malengo yako kwa 100%?🤔 inafaa sasa ubadili mtazamo uache kutenda kama ilivyokuwa kawaida ruhusu mfumo wa akili yako kujifunza upya kuyaendea mafanikio.
Huu ujumbe una maana kubwa sana kwako wewe ulioupokea kwa wakati huu ukiupuuza basi utakuwa sehemu ya wasindikizaji kwenye haya maisha maana hutoweza kuliishi kusudi lako kwenye uso wa Dunia.
Ni mara chache sana watu watakuambia ukweli huu unanafasi ya kushika au kuacha.
SEE YOU AT SUCCESS 🛫
By Augustine Soka