Salaam,
Dunia kwa sasa inakabiliwa na janga la mapenzi ya jinsia moja, jambo linalowapa wakati mgumu wazazi wengi kudeal nalo ajili ya uchache wa maarifa.
Kupitia mada hii, nitashare jinsi ya kuwalinda watoto wetu dhidi ya majanga mbali mbali.
Watoto ni zao la nishati zetu za uzazi, hivo tunao uwezo wa kudhibiti mienendo yao kupitia maagano.
MAHITAJI
1. kalenda ya kuzaliwa
2. majina yake 3
3. siku ya kuzaliwa
JINSI YA KUFANYA AGANO
Tamka majina 3 ya mhusika, kalenda ya kuzaliwa, majanga unayotaka kumlinda nayo mwanao.
Hakikisha agano unalifanya siku yake ya kuzaliwa, mfano kama kazaliwa ijumaa agano pia lifanye siku husika.
Kwa wale ambao tayari ni wahanga tumia taarifa hizo pia kumtoa ktk agano hilo.