Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 663
Ninatumia Nokia N72, ina huduma ya kutuma na kupokea email kwenye simu.
Nimeshindwa kutumia huduma hii, nikijaribu kutuma email inakataa kwenda, na inanipa ujumbe huu; 'WEB: SERVER NOT FOUND ' sijajua tatizo ni nini?
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa anisaidie tafadhali. Asante.