Kama ni facebook ni vema ufungue Page ya matangazo uwaalike rafiki zako walike hiyo Page ili iwe na Followers au tumia njia ya kupromote ukurasa ili upate kuwafikia watu wengi(hapa unalipia) Kisha Page ikishafikisha hata Likes 3000 anza sasa kupost hiyo biashara yako. Na pia ukitaka hiyo biashara yako iwafikie angalau wote hao 3000 ni lazima ulipie tena(hapa ndipo unapoona baadhi ya matangazo yameandikwa 'Imedhaminiwa'.