youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,349
- 3,176
Jinsi ya kutafuta wateja, kwa freelancers, wafanyabiashara, agency owners, watoa huduma na biashara yoyote inayotegemea watu kuuza.
Nitaeleze Jinsi ya
👉Kuwafikia / kukusanya watu wengi
👉Kubadirisha watu kuwa wateja
👉Kuwafanya wateja walete wenzao
Tuanze na jinsi ya kuwafikia na kukusanya watu
#1. Ni kutengeneza video za youtube
Ukumbuke watu wanaingia youtube kujiburudisha na kuangalia jinsi ya kutatua matatizo yao.
Sisi target yetu ni wafanyabiashara na watu wanaotafuta jinsi ya kutatua changamoto zao
Mfano👇
Mteja wako akiingia youtube atatafuta jinsi ya kufanya abc, jinsi ya kutibu, jinsi ya kupata, jinsi ya (how, where, why) solution
Ukitengeneza video za ku target hao wafanyabiashara una asilimia kubwa ya kuwakusanya kuwaleta dm au kwenye sales Funnel yako.
#2. Chukua transcription ya video ulizotengeneza youtube
Zipost Twitter (x) na linkedin
Hizo ndo social media zenye wateja walioko serious.
Mambo yote unayoongea kwenye video yabadirishe kwenda thread au LinkedIn post.
Idea moja itawafikia watu 1000000+
Kumbuka kukusanya namba za simu, email au kuwaweka kwenye group lako
#3. Tumia trick yoyote kukusanya Audience wako.
Kila aliyeelewa content yako hakikisha unampatia option ya kukufikia au kuingia kwenye Audience list yako.
Hapa tz tunakusanya namba za simu, ukiweza email au kuwaweka kwenye group.
#4. Post kazi zako kwenye social media
Sample za kazi zako, Case studies, Ukiwa inafanya kazi jirekodi, ukiwa na wateja wako, ukitoa huduma.
Kazi zako ndo portfolio yako, na portfolio yako ni social media.
Mtu akikwambia naomba nione kazi zako unamtumia link ya social media anaangalia mwenyewe.
Jinsi ya kubadirisha Audience kuwa wateja
#1. Ukishakusanya Audience wako unahitaji vitu vichache tu kuwabadilisha kuwa wateja wako.
👉Post shuhuda za wateja
👉Wapatie offer kali (jifunze offer creation)
👉Tengeneza lead magnet kali
Usijifiche nyuma ya keyboard, ukiweza jioneshe watu wakuone, inaongeza possibility ya kuaminika.
âś…Jinsi ya kufanya Audience wakuletee wateja wengine
Umeshakusanya Audience wako ni lazima uanze kuwatumia dm, post status.
Unatakiwa kucheza na hao clients wakuletee wateja wengine.
Kwa kuwaomba, kuwapatia Offer, au commission.
Mtu aliyeletwa na mwenzake ni rahisi sana kulipa
Kupata wateja au kuvuta wateja ni rahisi sana ukitumia hizi njia kwa usahihi (online hakunaga uchawi)
Kama una biashara yako lakini hauna muda wa kutengeneza content za kuvutia wateja
Tutafute hapa DM Tutakusaidia kuleta wateja