JINSI YA KUPOST VIDEO, AUDIO, PICHA , LINK......humu jamiiforum.

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
917
1,202
KWEMA WAKUU!!
?


NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA KUPOST VIDEO,PICHA,AUDIO AU LINK....HUMU JF.


HUWA NATAMANI KUSHARE VITU VIZURI NA NYIE LAKINI NASHINDWA.......MSAADA WENU PLZ.

NATUMIA TECNO W4.
 
Download hii app....

Ukiifungua itakuelekeza mpaka mwisho una copy link ya forums na kui-paste.....
Unaweza kutumia tinypic.com pia
 
aisee mkuu nakushkuru sana!!!!! ......endelea na moyo huo wa ukarimu, hutajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…