Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 519
- 915
View attachment 2833811
Hivi unajua Unaweza kutumia wifi kupiga simu , kupokea au kutuma ujumbe wa Sms kupitia simu yako ikiwa mtandao unasumbua na haupatikani kabisa.
Matoleo mengi ya simu kuanzia mwaka 2015 yana hii huduma ya kuweza kutumia wifi kupiga simu kwenye maeneo ambayo mtandao hakuna au unasumbua balaa.
Wifi calling hii ni feature ambayo inakusaidia kuweza kupiga simu au kutuma Message kwa mtu mwingine kupitia intaneti kwenye maeneo ambayo mtandao unasumbua au hakuna mtandao.
View attachment 2833812
Faida ya kutumia wifi calling
Hii haitaji mobile data kuweza kufanya Kazi yenyewe inatumia intaneti ya wifi.
Ni rahisi kupiga simu kwani ukiwa kwenye eneo lenye wifi yenyewe automatic inakua connected hivyo inakua rahisi kupiga simu.
Inafanya kazi ikiwa uko kwenye maeneo ambayo mtandao shida
Watumiaji wa android
View attachment 2833814
Watumiaji wa Iphone ingia setting kwenye simu yako Kisha >>phone >> wifi calling >> ukimaliza utaona wifi kwenye simu yako Iko on.
View attachment 2833813
Ukikosa ingia Google Kisha tafuta app inaitwa Google fi tengeneza akaunti Kisha weka on Wifi calling utakua na uwezo wa kutuma message au kumpigia mtu simu kupitia mfumo wa Wifi.
#bongotech255

- ingia setting kwenye simu yako
- wifi & network Kisha chagua sim & network
- chagua sim card gani kama 1 au 2 Kisha chini
- utaona neno wifi calling weka On
- ingia Sehemu ya preferred Kisha chagua call over Wifi.