Isaac1
Member
- Nov 12, 2018
- 79
- 70
Habari wanajukwaa,
Natumia TV aina ya TCL na wakati nanunua nilisikia wakisema kuwa unaweza kuweka antena na ukapata free chennels sasa leo nikasema nijaribu nikajarib kuseach nikapata kama channels 175 zikiwemo za Tanzania ila kila nayofungua naambiwa insert CI card sasa je hiyo si CI card naipata wapi au mimi nakosea kuseach walio wahi kufanikiwa katika hili naomba msaada wenu.
Asanteni.