Hckcode8
JF-Expert Member
- Apr 25, 2016
- 370
- 245
Habari JF leo napenda tujifunze namna ya kutoa write protection kwenye flash.
Kwanza lazima tujue nini maana ya write protection, maana yake ni kwamba ni uwezo wa flash au disk kuzuia kuandika (write) au kubadili data au mafaili yaliyopo kwenye flash au disk hiyo. Hivo basi ukikuta flash yako inagoma ku copy au ku delete mafaili yako na inakuletea meseji kwamba "write protected", basi jua kuwa kuna viruses wame set hiyo flash yako isiweze kufuta au ku copy mafaili.
TWENDE PAMOJA......,๐๐
HATUA ZA KUFUATA.
1. Chomeka flash yako kwenye kompyuta yako.
2. Fungua command line as administrator.
3. Andika DISKPART alaf bonyeza enter.
3. Andika LIST DISK alaf bonyeza enter.
4. Andika SELECT DISK 1 alaf bonyeza enter. Kumbuka hiyo 1 ni namba ya flash yako, utaiona maana itakuwa na gb chache kuliko hard disk yako, hivo unachagua namba yake unaiweka kwenye sehemu ya 1.
5. Andika CLEAN alaf bonyeza enter.
6. Andika CREATE PARTITION PRIMARY alaf bonyeza enter.
7. SELECT PARTITION 1 alaf bonyeza enter. kumbuka 1 ni namba ya flash yako.
8. Andika ACTIVE alaf bonyeza enter.
9. Andika FORMAT FS=FAT32 QUICK alaf bonyeza enter.
10. Andika ASSIGN alaf bonyeza enter.
11. Andika EXIT alaf bonyeza enter.
Hapo tayari umeshatoa write protection kwenye flash yako hibo basi unaweza ku delete na ku vopy mafaili kwenye kompyuta yako.
Aaron