Jinsi ya kujua umri wa tairi ya gari yako

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,417
4,549
Kwa anayejua hili atusaidie.Maana unaweza uliagiza gari Japan mwaka jana.Kumbe matairi yake kule yakawa yalikaa miaka mitano ndio ukapata wewe
 
Kuna namba utaziona hapo mfano

4915

Mwaka 2015 wiki ya 47 ndo tairi lilitengenezwa kumbukua lilktengenezwa sio kuanzaa kutumika

Wanasema miaka yake haizidi mitatu au zaidi sina hakika
ila hata kama halijatumika libaadilishwe ikifika siku yake ya mwisho wa matumizi hvyo hivyo sio mpk liwe kipara
angalia gari yako taili yako imetengenezwa mwaka gani
pila.jpeg
 
Kuna namba utaziona hapo mfano

4915

Mwaka 2015 wiki ya 47 ndo taili lilitengenezwa kumbukua lilktengenezwa sio kuanzaa kutumika

Wanasema miaka yake haizidi mitatu au zaidi sina hakika
ila hata kama halijatumika libaadilishwe ikifika siku yake ya mwisho wa matumizi hvyo hivyo sio mpk liwe kipara
angalia gali yako taili yako imetengenezwa mwaka gani
View attachment 1224138

Mkuu, limetengenezwa 2015 wiki ya 47..expire date?
 
Angalia expiration date... angalia kashata za tairi...

Ila tairi zinazokuja na gari kutoka nje hukaa muda mrefu zaidi kuliko hizi utakazobadilisha hapa hapa...


Cc: mahondaw
 
tairi ya gari hata ikiwa tairi umeichukua dukani leo na imepita miaka 5 tangu ilipo tengenezwa ujue hilo tairi lime expire halifai labda utumie hapa hapa mjini maana time yoyote tairi hilo lita pasuka lenyewe au kuvimba upande mmoja au kuchanika . hayo yamenitokea nilinunua tairi michellin mpya nakafunga kila wiki tairi moja lina vimba nikaja kuuliza wakanifahamisha
 
Hatari sana, unaweza kunun ua gari mpya kumbe tairi zimekwisha muda wake siku nyingi.
 
Sijaelewa. Ngoja nikanunue hivohivo
kabla hujanunua hilo taili ipige picha zile namba km sitakuwepo online JF nicheck whatsaapbamba hoi 0629552992 picha namba hii nitakusaidia kujua.

tagadhati sana usinunue tu ilimladi ikaja kukuletea madhara kumbuka hayo ni matairi ya gari hivyo kuwa makini mkuu kwa usalama wako piga picha kabla hujanunua maandishi ya pembeni then weka hapa tutakujuza.

usikate tamaa mkuu JF tupo pamoja kusaidiana kuelemishana
 
Back
Top Bottom