Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Free ideas

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
3,490
2,017
Hi members,

Leo nitajaribu kueleza na kufafanua namna ya kuishi na mwanamke katika ndoa bila mzozo na mikwaruzo.

Hii ni kutoka na experience yangu binafsi katika ndoa pamoja na utafiti wangu kayika jambo husika nikishirikisha watu mbalimbali wa rika tofauti walio katika ndoa

Hii inahusu walio katika ndoa kwa maana ya wanaoishi pamoja kama familia.(sio lazima wawe wamefunga ndoa za kanisani ama misikitini).Maana kwa tafsiri yangu mm kuishi pamoja tayr ni ndoa hayo mengine ni mbwembwe.

Haya twende kazi.

1. Kua makini na kauli zako ukiwa katika mazungumzo_Onyesha kumthamini kwa jinsi alivyo.Mpe umuhimu sana.Usimfananishe kwa namna yoyote na mtu wa chini.Mwambie yeye ni mzuri kila mara hata kama sio kweli.Isifie tabia yake huku ukimkosoa kwa kimwambia kwba akiacha hiki atakua perfect.

2. Msifie kila anapopika chakula.Kisifie na shukuru kila umalizapo kula.Mwambie amepika chakula kitamu kuliko jana.Kama una mfanyakaz wa ndani, hakikisha ukisifii chakula chake mbele ya mkeo, onyesha kutoridhika kila ukila chakula alichopika mtu mwingine tofauti na yeye.

3. Akivaa nguo msifie na mwambie imemtoa vizuri hata kama kavaa pajama na ametoka kama mjusi(butuku).Mwambie anajua kuchagua na kupangilia mavazi.Lakini kma kweli unamaanisha ni sawa lakini kama sio sawa basi hakikisha unakwendanae ahopping na kumshauri anunue mavzi unayopenda avae.

4. Mtoe out mara kwa mara mkiwa na wanenu(kwa walio na watoto).Mkiwa out isifie familia yenu kwamba mmependeza sana kuliko wote waliopo pale.Mwambie unampenda kila mara.Muulize anapenda nini mkiwa out.Siku moja moja mlale huko huko hasa weekends.Mwambie tena kwamba nampenda sana .

5. Wasifie watoto wenu mbele yake.Mwambie amezaa watoto wazuri kama yeye hata kama sio wazuri.Mwambie ana mbegu nzuri na ungependa akuzalie zaidi.mkumbatie pamoja na watoto.Mpige busu mbele za watu mwbie mmeendana sana.Siku moja moja yoa chozi wakati ukimwangalia machoni.Mwambie yeye ni mzuri sana.

6. Jitahidi kumuuliza kuhusu ndugu zake na ongea na wazazi wake mara kwa mara.Ongea na mama yake mbele yako cheka kwa sauti mwambie mama yako mkarimu sana na kwba amepata mama bora.Usimlazimishe aongee na mama yako wala ndugu zako.Mwambie ndugu zake waje kusalimia mara kwa mara.

7. Kila baada ya sex mwambie ye ni mtaalam hata kama hua analala kama jiwe.Mwambie yeye ni mwanamke wa maisha yako.Mwambie anakuridhisha sana na huna haja na mtu mwingine.mwambie anajua kukata mauno na muulize kam alifundwa ama la!, Mwambie kwamba ulipokua mdogo ulitaka kuoa wanawake wawili lakini kwa sababu yake huna mpango tena.Hakikisha kama mwanaume umemridhisha kweli ili kuziba loop holes za yeye kupigwa na men wengine.Mnyonye kila mahala na umfanyie vitu adimu ambavyo unahisi huko shule, chuona popote kabla yako hakufanyiwa.Mpe staili zote ngeni unazojua.Mfanyie rough sex mara kwa mara maana hiyo hua inawapagawisha wengi.

8. Ukisafiri au ukiwa kazini mpigie simu mara kwa mara kumjulia hali mwbie umemisi sana na unatamani siku iishe.Mwambie unamuwaza sana mpaka kazi haziendi.muulize chakula alichopika na kisifie mwambie you can't wait to be there, hata kama kapika makande.Muachie kiasi chabkutosha na mwambie yeye ndiye baba wa famili kwa wakati huo aiongoze familia.Onesha kumwamini sana kwa kila anachofanya.

9. Usifanye kosa kuyongoza wadada ama wanake wa mtaani kwako, unesha kuwadharau mbele yake.Usiwasifie wanawake mbele yake.Wasingizie tabia mbaya rafiki zake hata kama si kweli.Onesha kutokupenda mienendo yao.Usisimame na majirani(wanawake) hata mara moja hata kama hayupo.Ukisalimiwa na wadada ama wanawake wa mtaani kwako itikia kizembe (kama vile radio iliyoisha betri) na wakati mwingine usiitikie kabisa.Taarifa zitamfikia kwamba unadharau na maringo.Hapo yeye moyoni atafurahi sana utasikia anakwba 'uwe unaitikia bby jamani'.

10. Ongea ndoto zako kila mara ukiwa nae na nn umeplani kwake.Mwambie unatak awe mfanya biashara mkubwa tz au EA.Mwambie anaweza kuajiri watu wengi.Mwambie yeye ni boss mtarajiwa.
Hata kama mmepanga mwambie mtamiliki nyumba yenu na mtakua na wapangaji wengi.Usioneshe unyonge mbele yake wa udhaifu kabisa.Usiseme huna hela mbele yake hata kama huna kweli basi kopa please.

11.Kama mnamiradi mpe aisimamie yeye na awakontrol wafanyakazi yeye.Mwambie unamwamini japo kia makini sana na hilo.Hakikisha faida inapatikana.

NB: Wanawake hawaeleweki, ukiona umefanya hayo yote bado haeleweki usishangae endelea tu kubuni mengine.

Mimi pamoja na kufanya hayo yoote lakini kuna wakati hua namnasa vibao wife

.…........Free ideas..........
 
Free ideas mm wangu hata ukisema muende outing (mostly beach hotels) mtaishia kugombana huko huko. Toka Aprili nilikuwa Sweden kikazi nikarudi wk iliyopita ile tumeanza vizuri tu pale nimekuja jion yake tukapiga sex adimu, tukarudia tena alfajiri.

Kufika kwenye saa 5 asubuhi (ilikuwa weekend) akaanza kisirani daah ile hamu yote ya kummis ikapotea. Nimeamua kukaa kimya nafocus kwa watoto tu Ndo furaha yangu iliyobaki. Hapa mke nimeoa boya flan amazing haeleweki. Natamani mchepuko ingawa nilijaribu baadhi nao ni pasua kichwa.
 
Free ideas mm wangu hata ukisema muende outing (mostly beach hotels) mtaishia kugombana huko huko. Toka Aprili nilikuwa Sweden kikazi nikarudi wk iliyopita ile tumeanza vizuri tu pale nimekuja jion yake tukapiga sex adimu, tukarudia tena alfajiri. Kufika kwenye saa 5 asubuhi (ilikuwa weekend) akaanza kisirani daah ile hamu yote ya kummis ikapotea. Nimeamua kukaa kimya nafocus kwa watoto tu Ndo furaha yangu iliyobaki. Hapa mke nimeoa *boya flan amazing* haeleweki. Natamani mchepuko ingawa nilijaribu baadhi nao ni pasua kichwa
Ukute naye anakuona boya tu, kwamba hata watoto unaolea siyo wa kwako.
 
Free ideas mm wangu hata ukisema muende outing (mostly beach hotels) mtaishia kugombana huko huko. Toka Aprili nilikuwa Sweden kikazi nikarudi wk iliyopita ile tumeanza vizuri tu pale nimekuja jion yake tukapiga sex adimu, tukarudia tena alfajiri. Kufika kwenye saa 5 asubuhi (ilikuwa weekend) akaanza kisirani daah ile hamu yote ya kummis ikapotea. Nimeamua kukaa kimya nafocus kwa watoto tu Ndo furaha yangu iliyobaki. Hapa mke nimeoa *boya flan amazing* haeleweki. Natamani mchepuko ingawa nilijaribu baadhi nao ni pasua kichwa
Pole sana mkuu
 
Kweli umemchukia nadhani hilo tako ndio ulilompendea ukasahau mwanamke ni tabia na si tako.. Pole huo ni msalaba wako jaribu kuubeba kwanza. Ila umeshajiuliza why kisirani? Lazima kuna sababu jaribu kuitafuta
Wakati fulani anakiri kuwa huwa anapata hasira na hajui sababu. Nimechunguza kwao mama yao ni kisirani mpaka kuna Wakati baba mkwe alitaka waachane but watu wa kanisani Moravian-Mabibo wakaingilia kati. Dada mtu nae mtata kwa mume kiasi kwamba (mume mwenzangu=tuliooa nyumba 1 anakuja kwangu kutaka ushauri, akidhani kwangu ni shwari kumbe nakufa na donge langu shingoni kimya kimya) Navuta muda nikishindwa nabwaga manyanga asb na mapema. Watoto nitawahudumia kwa kila kitu
 
Pole sana ila watoto ni wa kuhurumia hicho kisirani kwa watoto wake nadhani hana ni kwako tu. Na kama mama mkwe ni hivyo basi hapo ni maombi tu yatambadilisha. Mi kwa kweli nliishi na roommate wa upande hiyo alikuwa anaweza amka asubuhi na hakusemeshi ni kabaki nashangaa coz sikuwahi ishi na MTU kisirani nikarudi nyumbani nikamwambia mama yangu akanijibu tu kuna watu wana vichaa vikivyofichika mchukulie taratibu au nijaribu kujua kama shida kwao. But sikuweza kwa sababu ya hicho kisirani ningeanzia wapi kuulizia mambo ya kwao. Sasa hivi namuonea Mme wake huruma but anamvumilia
 
Wakati fulani anakiri kuwa huwa anapata hasira na hajui sababu. Nimechunguza kwao mama yao ni kisirani mpaka kuna Wakati baba mkwe alitaka waachane but watu wa kanisani Moravian-Mabibo wakaingilia kati. Dada mtu nae mtata kwa mume kiasi kwamba (mume mwenzangu=tuliooa nyumba 1 anakuja kwangu kutaka ushauri, akidhani kwangu ni shwari kumbe nakufa na donge langu shingoni kimya kimya) Navuta muda nikishindwa nabwaga manyanga asb na mapema. Watoto nitawahudumia kwa kila kitu
Mpeleke kanisani akafanyiwe maombi ya ukombozi. Hicho kiburi cha kurithi hutaweza kukicontrol kwa akili na nguvu zako. Msaada wa kiroho unahitajika kulinda ndoa yenu.
 
Hi members,
Leo nitajaribu kueleza na kufafanua namna ya kuishi na mwanamke katika ndoa bila mzozo na mikwaruzo.
.
.
.
Hii ni kutoka na experience yangu binafsi katika ndoa pamoja na utafiti wangu kayika jambo husika nikishirikisha watu mbalimbali wa rika tofauti walio katika ndoa
.
.
.
Hii inahusu walio katika ndoa kwa maana ya wanaoishi pamoja kama familia.(sio lazima wawe wamefunga ndoa za kanisani ama misikitini).Maana kwa tafsiri yangu mm kuishi pamoja tayr ni ndoa hayo mengine ni mbwembwe.
.
.
Haya twende kazi.
.
.
1.kua makini na kauli zako ukiwa katika mazungumzo_Onyesha kumthamini kwa jinsi alivyo.Mpe umuhimu sana.Usimfananishe kwa namna yoyote na mtu wa chini.Mwambie yeye ni mzuri kila mara hata kama sio kweli.Isifie tabia yake huku ukimkosoa kwa kimwambia kwba akiacha hiki atakua perfect.
.
.
2.Msifie kila anapopika chakula.Kisifie na shukuru kila umalizapo kula.Mwambie amepika chakula kitamu kuliko jana.Kama una mfanyakaz wa ndani, hakikisha ukisifii chakula chake mbele ya mkeo, onyesha kutoridhika kila ukila chakula alichopika mtu mwingine tofauti na yeye.
.
.
3.Akivaa nguo msifie na mwambie imemtoa vizuri hata kama kavaa pajama na ametoka kama mjusi(butuku).Mwambie anajua kuchagua na kupangilia mavazi.Lakini kma kweli unamaanisha ni sawa lakini kama sio sawa basi hakikisha unakwendanae ahopping na kumshauri anunue mavzi unayopenda avae.
.
.
4.Mtoe out mara kwa mara mkiwa na wanenu(kwa walio na watoto).Mkiwa out isifie familia yenu kwamba mmependeza sana kuliko wote waliopo pale.Mwambie unampenda kila mara.Muulize anapenda nini mkiwa out.Siku moja moja mlale huko huko hasa weekends.Mwambie tena kwamba nampenda sana .
.
.
5.Wasifie watoto wenu mbele yake.Mwambie amezaa watoto wazuri kama yeye hata kama sio wazuri.Mwambie ana mbegu nzuri na ungependa akuzalie zaidi.mkumbatie pamoja na watoto.Mpige busu mbele za watu mwbie mmeendana sana.Siku moja moja yoa chozi wakati ukimwangalia machoni.Mwambie yeye ni mzuri sana.
.
.
6.Jitahidi kumuuliza kuhusu ndugu zake na ongea na wazazi wake mara kwa mara.Ongea na mama yake mbele yako cheka kwa sauti mwambie mama yako mkarimu sana na kwba amepata mama bora.Usimlazimishe aongee na mama yako wala ndugu zako.Mwambie ndugu zake waje kusalimia mara kwa mara.
.
.
7.Kila baada ya sex mwambie ye ni mtaalam hata kama hua analala kama jiwe.Mwambie yeye ni mwanamke wa maisha yako.Mwambie anakuridhisha sana na huna haja na mtu mwingine.mwambie anajua kukata mauno na muulize kam alifundwa ama la!, Mwambie kwamba ulipokua mdogo ulitaka kuoa wanawake wawili lakini kwa sababu yake huna mpango tena.Hakikisha kama mwanaume umemridhisha kweli ili kuziba loop holes za yeye kupigwa na men wengine.Mnyonye kila mahala na umfanyie vitu adimu ambavyo unahisi huko shule, chuona popote kabla yako hakufanyiwa.Mpe staili zote ngeni unazojua.Mfanyie rough sex mara kwa mara maana hiyo hua inawapagawisha wengi.
.
.
8.Ukisafiri au ukiwa kazini mpigie simu mara kwa mara kumjulia hali mwbie umemisi sana na unatamani siku iishe.Mwambie unamuwaza sana mpaka kazi haziendi.muulize chakula alichopika na kisifie mwambie you can't wait to be there, hata kama kapika makande.Muachie kiasi chabkutosha na mwambie yeye ndiye baba wa famili kwa wakati huo aiongoze familia.Onesha kumwamini sana kwa kila anachofanya.
.
.
9.Usifanye kosa kuyongoza wadada ama wanake wa mtaani kwako, unesha kuwadharau mbele yake.Usiwasifie wanawake mbele yake.Wasingizie tabia mbaya rafiki zake hata kama si kweli.Onesha kutokupenda mienendo yao.Usisimame na majirani(wanawake) hata mara moja hata kama hayupo.Ukisalimiwa na wadada ama wanawake wa mtaani kwako itikia kizembe (kama vile radio iliyoisha betri) na wakati mwingine usiitikie kabisa.Taarifa zitamfikia kwamba unadharau na maringo.Hapo yeye moyoni atafurahi sana utasikia anakwba 'uwe unaitikia bby jamani'.
.
.
10.Ongea ndoto zako kila mara ukiwa nae na nn umeplani kwake.Mwambie unatak awe mfanya biashara mkubwa tz au EA.Mwambie anaweza kuajiri watu wengi.Mwambie yeye ni boss mtarajiwa.
Hata kama mmepanga mwambie mtamiliki nyumba yenu na mtakua na wapangaji wengi.Usioneshe unyonge mbele yake wa udhaifu kabisa.Usiseme huna hela mbele yake hata kama huna kweli basi kopa please.
.
.
11.Kama mnamiradi mpe aisimamie yeye na awakontrol wafanyakazi yeye.Mwambie unamwamini japo kia makini sana na hilo.Hakikisha faida inapatikana.

NB: Wanawake hawaeleweki, ukiona umefanya hayo yote bado haeleweki usishangae endelea tu kubuni mengine.
.
Mimi pamoja na kufanya hayo yoote lakini kuna wakati hua namnasa vibao wife

.…........Free ideas..........
Huu ni Ukweli Mtupu Mkuuu
ngoja nijitahidi ku apply....zilizobakia chache....kama 2/3.
 
Wakati fulani anakiri kuwa huwa anapata hasira na hajui sababu. Nimechunguza kwao mama yao ni kisirani mpaka kuna Wakati baba mkwe alitaka waachane but watu wa kanisani Moravian-Mabibo wakaingilia kati. Dada mtu nae mtata kwa mume kiasi kwamba (mume mwenzangu=tuliooa nyumba 1 anakuja kwangu kutaka ushauri, akidhani kwangu ni shwari kumbe nakufa na donge langu shingoni kimya kimya) Navuta muda nikishindwa nabwaga manyanga asb na mapema. Watoto nitawahudumia kwa kila kitu
Bt zoea tu,hiyo ni kawaida ya mnyakyusa, Kuropoka,dharau, mjivuno,gomvi,

Bt upande mwingine hasira husababishwa na genye...inawezekana hupigi machine ipasavyo mkuu,jitahidi usimamie Nail
 
Bt zoea tu,hiyo ni kawaida ya mnyakyusa, Kuropoka,dharau, mjivuno,gomvi,

Bt upande mwingine hasira husababishwa na genye...inawezekana hupigi machine ipasavyo mkuu,jitahidi usimamie Nail
Mkuu kwanza kuhusu kummaliza nyege hilo nakuhakikishia nahakikisha anafikia "orgasm" kila ninapomuomba game. Tatizo kubwa la Atuganile ni wivu uliopitiliza ana mawazo siku nampa mwanamke mwingine huu ukuni na utundu huu nafasi take itapotea
 
Back
Top Bottom