jamani nahitaji kujua jinsi ya ku install whatsapp kwenye pc inayotumia wondow 7 professional...nilijaribu ku install bluestack ili nitumie kudownload but bluestack imekataa ku install... nifanyaje
Ila bluestack inaweza kuua kompyuta yako mana kompyuta inakuwa nzito sana na scratching nyingi mno. Mimi nilikuwa nayo kwenye kompyuta yangu had nikaamua kuing'oa /unstall.
Ila bluestack inaweza kuua kompyuta yako mana kompyuta inakuwa nzito sana na scratching nyingi mno. Mimi nilikuwa nayo kwenye kompyuta yangu had nikaamua kuing'oa /unstall.
Nenda Google download na install kms Pico kwenye pc yako.
Ukiingia kms Pico disable antivirus yako kisha Chagua option ya activate windows, click activate then restart pc yako baada ya activation.Btw, watakuomba password ..huwa ni 12345 kama sikosei(password imeoneshwa kwenye website yao ukiwa Una download)
Process fupi Sana.