kama hio pc imekuja na windows 8 hukuieka mwenyewe inamaana itakuwa ina secure boot ambayo ni security kwenye UEFI hivyo huwezi kuboot kitu chochote mpaka kiwe signed na microsoft wenyewe.
hivyo hapo kabla hujafanya lolote utatakiwa kudisable hio secure boot kwanza. soma hapa kudisable hio secure boot na kueka linux