wadau naomba msaada wa kucreat WIFI hotspot kwenye blackberry bold 9700 iweze kushare kwenye simu au laptop yenye uwezo wa kuditect wifi
Kumbe bb 9700 hazina WIFI?..mi hapa hii ni 9300 curve full wireless hapa
Mimi nina BB 8120 WIFI full kujiachia.
tanx bro let me try ithii software itakusaidia kucreat wifi hotsport kwenye cm yako u just download and install like other software in ur bb..
Name of the software: joikusport
Download link"www.mobyware.net > Home > BlackBerry >JoikuSpot Premium"
Kumbe bb 9700 hazina WIFI?..mi hapa hii ni 9300 curve full wireless hapa