fredick
Member
- Aug 21, 2024
- 11
- 16
wana group nimegundua watu wanapitia magumu kuhusu punyeto...
NAAMINI KUPITIA HILI SOMO UTANISHUKURU
SOMO MUHIMU*
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Ili uweze kuacha kupiga punyeto fanya yafuatayo:-
➡️Andaa calendar ya mwezi mzima
➡️Kisha amua na sema nimeacha kuanzia leo.
➡️Kisha jiwekee target mfano, nataka ndani ya huu mwezi mzima nisipoge punyeto, yaani ndani ya siku 30. Anzia hapo kwanza.
➡️Weka alama ya tiki ☑️ kwenye calendar yako kila siku ambayo itapita bila kupiga. Yaani umefanikiwa
➡️Kisha jiambie mimi ni mshindi kwenye kila siku ambayo itapita bila kupiga punyeto. 💪🏿💪🏿💪🏿
➡️Jipongeze katika siku hiyo kwa kitu chochote hata kama ni kidogo, mfano. Jipongeze kwa kununua apple 🍎 au tunda lolote ulipendalo, au kitu chochote
➡️Siku ambayo utapiga utaweka alama ya kosa ✖️ kwenye calendar yako, kisha ratiba nzima itaharibika na utatakiwa uanze upya.
➡️Baada ya mwezi kuisha ukafanikiwa kujizuia, unaendelea na challenge yako, utasema sasa nataka nikae miezi miwili bila kupiga, utandaa calendar ya miezi miwili
➡️Utaendelea na utaratibu huu hadi mwaka, mpaka pale itakapo acha kabisa
Jiulize yafuatayo ili uweze kuacha:-
1. Hii punyeto ina faida gani kwangu????
2. Kwani nikiacha itatokea nini kwenye mwili wangu???
3. Hivi ninavyozidi kupiga si ndio jazidi kupata madhara????
4. Hivi na utu uzima wangu kweli nafanya kitendo hiki???
5. Hivi sina kazi au ndoto zozote za kimaisha mpaka napiga punyeto????
6. Hivi nitafanya hivi hadi lini????
Kisha sema nimechoka na utumwa huu, leo ndio mwisho!!!!
Kisha fanya yafuatayo:-
1. Kama ulikuwa unaangalia video na picha za ngono acha kuanzia leo.
2. Futa video zote na picha zote kwenye simu, laptop, cd au flash
3. Epuka kukaa mwenyewe mda mrefu hasa ukiwa sehemu faragha
4. Tumia muda mfupi ukiwa chooni
5. Usichezee nyeti zako
6. Acha kuangalia au kusikiliza story za kimapenzi
7. Jiondoe kwenye magroup yote ya kimapenzi na ngono
8. Jiambie mimi ni mtu mpya sasa
9. Wasiliana nami bure kabisa kila utakapohisi unataka kupiga punyeto
NB. Punyeto ni hatari na haina faida yoyote kwako zaidi unazidi kujimaliza na unakaribia kuwa hanisi.
Acha leo, upo tayari kuacha???
Upo tayari kuanza hii challange??
Nambia kama umeacha kuanzia leo
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Pia soma:Tujadili kuhusu madhara ya punyeto na jinsi ya kuacha