monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 832
- 1,472
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mwenye ufahamu juu ya hili nahitaji ku-download FIFA 2016 au 2017
Nipe mkuu itakua poa sanaNiko na link ya Pes2016 nikupe? Ina maelezo pia
Hebu nidadavulie game Kali katika hayo majinaseems kama emuparadise ipo down, wiki kadhaa sasa siipati, kila game wanasema unavailable.
inategemea na game unalotaka, links zipo nyingi. kuna nicoblog ana collection kubwa ya rpg, kuna romhustler, coolrom, freerom etc
hayo sio magame mkuu ni sehemu za kupatia hayo magame, inategemea na wewe mwenyewe unapenda nini.Hebu nidadavulie game Kali katika hayo majina
Fifa 2016 hadi 2018 auhayo sio magame mkuu ni sehemu za kupatia hayo magame, inategemea na wewe mwenyewe unapenda nini.
nitajie game kama tatu unazozipenda
huwezi kuta games mpya kwenye psp, hio ni console ya zamani.Fifa 2016 hadi 2018 au
GTA
Ahsante chiefhuwezi kuta games mpya kwenye psp, hio ni console ya zamani.
gta jaribu hili, kama 1GB ni vice city, ila naona kama hamna haja ya kucheza gta kwenye psp sababu tayari lipo kwenye simu na pc why u emulate?
http://nm101.tk:84/DIST/PSP/GAMES/ISO/GTA Vice City Stories.iso
yap, unatumia simu au pc? kama ni simu aina gani?A
Ahsante chief
Nawezaje kuipata GTA nje ya PSP?
emuparadise imekataa mkuu? naliona hapachief naomba link ya downhill domination ps2 iso
-gta san andreasNatumia Boom j8
Dah sijakuelewa Chiefnaamini unajua kueka games za android nje ya store.