Bossprota
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 336
- 372
MATAPELI WANAOJIFANYA WAZUNGU
Naeza toa Elimu kidogo kuhusu hizi mambo jinsi utakavyo lizwa na hawa wazungu wa Nigeria Kenya na UDSM &UDOM Wameingia sahivi😂😂😂😂
Hawa matapeli wanakuingiza chaka kimkakati saaana iko hivi:
Kwanza jua unapotextiwa hautextiwi pekeako mpo wengi haswa limit ni 500. Kunahatua huwa wanapitia hawa watu hadi kufikia kutapeliwa Pia hawa Jamaaa hawatumii WhatsApp za kawaida zipo WhatsApp special for Bulkfowards hizi forward zake kwanza hazikunotify kwamba msg ni forwarded ahf limit number ni 500 contacts at the time
Zipo hatua kadhaa wanazokupitisha hadi utoe pesa
I)Wanaandaa namba ya simu ya nje ya nchi kama USA UK Malaysia Sweden Australia France etc.. Nanamba hizo wanazipata kupitia app mbalimbali kama Telos,Enumelo mypricont..etc iyo namba wanaiunga WhatsApp nakuweka profile za wazungu.
II)Wanatafuta namba zasimu zilizojiunga WhatsApp na ni current and reachable namba hizi wanazikuta kwenye magrup ya WhatsApp,kwenye line za simu zawatu kwenye matangazo ya biashara etc.. na hii process inachukua mwezi mzima.
III)Kinachofuata ni kufoward txt kwenye namba hizo 500 #elewa kitu hapo txt inapokujia wewe inakuwa imetumwa kwa watu 500 labda kwa watakao respond ni 400 hawa Mia nne wataanza kusomeshwa kilamtu kwa namna yake hapo anaeza kukueleza kwamfano.
"Hi 👋 Am Henrique Morgan from Sweden Am stock manager from Stockholm house of electronics for now am in Zimbabwe at vacation i like my next destination to be in Tanzania at your region are you interested to host my vacation??" Hizi huwa ni msg unayotumiwa kama utambulisho wake sasa wakifowardiwa hii sms watu 500 wakarespond watu 400 hao 400 ndio wanaanza kuingizwa kwenye mchakato wakisongolwa pesa sasa.
IV)Tayari ashakwambia kwamba anaplan kuja Tanzania baada ya kutoka Zimbabwe mnaeza chat kwa siku kadhaa na maandalizi ya yeye kuja mnaeza plan kabisa🙌🙌
V)Hatua inayofuata ni kuvuruga ratiba ya yeye kuja uko anaeza sema kwamba ameitwa ghafla anahitajika office kunamajukumu ya kiofisi yanamhitaji kwenda.
VI)baada ya siku 5 Anakujuza kawasili nchini kwao na kukuahidi kuja kwa maranyingine hapa ataonyesha kuwa very sorry kwa kutokuja 🇹🇿 ila atahitaji kukupoza kwa zawadi atakazo kutumia kabla yeye kuja.
VII)Atakutumia picha za mizigo ya maana mfano iPhone 14,kamera za maana saa na vyeni vya bei mbaya nk halafu atakutumia link ambayo inapicha iliyotengenezwa kupitia websites kama imgur yenye screenshot ya shipping process kuanzia warehouse na kila siku atakuwa anaupload picha kwenye imgur na kukupa link we utahisi umetrack mzgo kumbe ni picha zina uploadiwa tuu kule nakupewa link.
VIII)Atakutumia link ya mwisho kukuonyesha mzgo umefika bandalini au Airport.
IX)Hapo sasa atakuacha ndani ya siku 4 ndipo utapigiwa simu nanamba yakibongo kukwambia kwamba wao ni wafanyakazi wa bandari au Airport atakupa makadrio ya mzigo uzito au Cpm nakukupa calculation ya ushuru unaotakiwa kulipa mfano anaeza kwambia inahitajika 250,000/= hapo kumbuka anaongea na watu 400 fanya wakajaa kwenye mfumo watu 100 kati ya watu 400 wakilipa ni 25,000,000/= wakipatikana hao waliolipa utatumiwa risiti ya uongo then utakaa siku2 unapigiwa na bodaboda atadai 5000 usafili fanya 5000x100=500,000/=
Baada ya hapo wanafuta namba ya WhatsApp
Unajiepushaje:
1:Akikutafuta mzungu WhatsApp mchatishe kiswahili tena cha kiuni mfano akijitambulisha kizungu we mwambie "oui niaje mchizi wangu" akijibu tu uyo ni mbongo au mkenya.
2:Mwombe video call akikuzungusha jua unapigwa jua hilo ni liafrica.
3:Kumbuka kwenye shipping 🚢 tracking link huwa moja usitumiwe link nyingi nyingi:
Its me Protas Mussa