Jinsi Vacuum Leak inavyoweza kuathiri perfomance ya gari na gharama za mafuta.

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,382
9,749
10-Best-EVAP-Smoke-Machines-1.jpg

Engine ya gari huwa inakuwa na njia za hewa. Inaweza kuwa hewa na kawaida, moshi, fumes za tank la mafuta, n.k.

Endapo njia hizi za hewa zitaanza kuvuja[leak] huwa inaweza kusababisha matatizo makubwa kwenye gari.

Baadhi ya dalili kwamba engine ina leak hewa huwa ni;

1. Check engine light

2. Engine kukataa kabisa kuwaka

3. Engine kuwaka na kuzima hapo hapo.

4. Engine kumiss

5. Gari kuzima, hasa wakati wa kusimama.

6. Kusikia sauti ya hewa kuleak upande wa engine ukiwasha gari.

7. Gari kutumia mafuta mengi sana kuliko kawaida.

8. Engine kukosa nguvu

9. Gari kutoa moshi mwingi mweusi

10. Na mengine mengi.

Leak ambazo zina madhara zinaweza kuwa maeneo yafuatayo.

1. Intake manfold/Air duct na pipes zake.

2. Exhaust manfold kabla ya oxygen sensor ya chini.

3. EVAP system

4. EGR system

5. Turbo

Kiuhalisia matatizo ya leak huwa yanasumbua kama hakuna vifaa sahihi vya kugundua mahali leak ilipo.

Hizi ni mfano wa codes ambazo hupatikana kwenye diagnosis na huwa zinasumbua kurekebisha

P0170 mpaka P0174 lean system codes.

P0420 mpaka P0423 Cat converter performance below threshold.

P0300 random misfire.

P0442 EVAP system small leak detected.

P0400 mpaka P0404 EGR system

P0131 O2 sensor low voltage

Na nyingine nyingi.

Leak za Turbo na EGR huwa hazijifichi. Straight gari itakosa nguvu.

Leak zilizobaki njia rahisi ya kujua kwamba kuna leak, fuata hatua hizi.

1. Hakikisha engine haina tatizo lolote hasa matatizo yanayohusiana na sensors na vifaa vingine vya umeme.

2. Tafuta mashine ya diagnosis nenda mpaka kwenye live data.

3. Angalia Long na Short FT[Fuel Trims] au [STFT na LTFT]

4. Kama namba utakazoziona hapo ni 0 au zinakaribia 0 you have a perfect engine.

5. Kama utapata zaidi ya 3 kwa STFT na zaidi ya 10 kwa LTFT[iwe +ve au -ve]. Kuna chance kubwa ya kuwepo kwa leak na inakukangaa kwenye mafuta kimyakimya.

6. Hizi fuel trims huwa ni Adjustment ya mafuta yanayokuja kwenye engine. Hivyo zinavyokuwa kubwa unaunguza mafuta mengi zaidi.

Tunayo mashine kwa ajili ya kupima leak kwenye gari lako. Tunaweza kujua leak yoyote kuanzia Intake leak, exhaust leak, fuel tank, cooling system, Turbo, Crankcase n.k.

Ni smoke mashine hivyo tunainduce moshi kwenye mfumo husika halafu tunaangalia wapi utakuwa unaleak. Ndani ya dakika chache tu tunaweza kujua wapi panavuja.

Pia.

1. Tunafanya diagnosis kwenye mifumo mbalimbali ya umeme ya gari na kurekebisha matatizo.

2. Tunauza/Kufunga GPS trackers. Tunazo GPS za aina mbalimbali.

3. Tunazo modern tools nyingi kwa ajili ya kugundua matatizo mbali kwenye gari.

Tupigie/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625.

Tupo Dar, Magomeni, Mwembechai.

Karibu sana.
 
View attachment 2312139

nimekupata vyema mkuu mtaalamu wa magari
 
Back
Top Bottom