Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,761
- 13,892
Nikiwa Sasa nahitaji kuoa na shauku yangu kubwa ilikuwa nioe binti msabato mwenye bikira yake awe mke wangu.
Basi jitihada zilianza ku Act kama msabato.
Suti zikashonwa Tai zikanunuliwa na suruali za vitambaa.
Nilijifunza Kwa bidii sana hii ilikuwa mwaka2015. Kwa sababu nilibobea kwenye kujifunza majina yetu yakaoredheshwa Kwa ajiri ya ubatizo siku ilipofika sikwenda na simu nikazima kabisa maana halikuwa lengo langu.
Siku zikaenda likawepo kusanyiko fln la mitaa2 kujadiri mambo fln hapo Sasa ndo niliona fursa maana niliona mabinti wenye nywere asili wasio na mkorogo Wala majivuno.
Nikabahatika kuonana na binti mmoja mwenye itikadi Kali za kisabato.na tukaanzisha mahusiano lkn Kila tukitaka onana lazima shemasi ahusike daah nilienda nae badae nikapiga chini.
Hatimae 2016 kwenye Makambi makubwa ya wasabato BUSULWANGILI.
Makambi haya yalikutanisha mikoa 6 ya Tanzania wao Wanaita .... conference watatusaidia wasabato sijui ni north au south conference sijui.
Hapo Sasa nilijiandaa vilivyo kuwa liwalo liwe lazima niende na nikapate mke kule.
Kanisani nilipokuwa na Sali walikuwa wanahimiza michango lakini hakuna aliyetoa zaidi yangu Mimi tu.
Hatimae nikaenda Mimi mwenyew Kwa boda boda mbili zikiwa zimebeba mizigo yangu na chakula Nami nikabeba begi langu la nguo.
Kwa vile tiyari nilikuwa nauzoefu wa vitu mbalimbali kuhusu Imani hii mpya kwangu sikupata shida.
Nilijenga kambi la maturubai nayo yalikuwa 3 yote yakuazima na Kila kitu kikawa sawa.
Kwa kweli kambi langu lilikuwa zuri hasa msosi maana nilkuwa na kuku3 nilichukua kutoka kwangu samaki nilinunua wa7 wakubwa wakubwa.
Hivyo kuwa vuta wasichana haikuwa kazi kubwa na ukumbuke kupika nilkuwa napika mwenyew
Siku ya kwanza nikapika nikakaribisha kundi la wasichna 5 tukala Kwa pamoja kati Yao akajitolea 1 kunioshea vyombo nk
Hivyo hivyo wakawa wanajitoa Hadi kupika maana kambi lilikuwa na full package sio tambi Wala mafuta ,mayai kienyeji tray nzima nilkuwa nimejipanga mno.
Sifa hizi zikaenea sana pale kambini Kiladada akawa anataka anifahamu na kunijua zaidi.
Mahubiri yaliendelea kama kawaida Hadi Sasa na mkumbuka pastor Nyonyi alikuwa anatufundisha SoMo la life style.
Muhubiri simkimbuki ila nakumbuka aliwahi tuhubiri SoMo Moja lilikuwa Lina kisa Cha mbwa watatu (smart dog)
Kulikuwa na masomo ya ujasiria Mali mida ya jioni na washa mbalimbali.
Nimeingia kwenye mahusiano mara nyingine na binti wa kisabato huyu Sasa alikuwa mrembo haswa Wala Hana mambo mengi na ana simu kitochi.
Tuliendelea kuwasiliana Kwa Siri ila muda huo akiwa Tyr kakukubali tuonje tunda la ujuzi wa mema na mabaya.
Mtihani ilikuwa ni muda kwani kulikuwa na ulinzi mkali sana.
Pole pole nilimlegeza na hatimae tukapanga sehemu ya kukutana
Ukumbuke kambi lile lilikuwa maporini kama unaenda nyangalata huko machimboni (jirani tu)
Usiku wa saa3 akanitumia msg na kunielekeza aliko niende chap japo nikamkiss tu yule binti.
Sikupoteza muda nilienda Kwa kujificha snaa kama naenda kunya vichakani kumbe na muwahi yeye.
Hatimae nikaona ishara ya tochi ya simu akiwasha na kuzima kama alivyosema
Basi nikamshika mkono nakuanza kutokomea nae vichakani.
Tukafika sehemu Sasa romance zikaanza Ile namlaza chini Hivi sijui walinzi walitokea wapi wakanishika wakamshika na mwanamke wakatuanza fimbo huku wakipuliza firimbi nilipigika viboko kama 11 Hivi nikabahatika kuchomoka mbio mbio huku demu nae akipigika huko.
Sikupoteza muda nikakimbia Hadi senta ya BUSULWANGILI nikachukua boda Hadi kwenye mji wa kakola nikalala hapo.
Mle kambini kwangu nilikuwa nalala na dogo fln Hivi nikaanza kumuuliza kama Kuna lolote huko
Akasema hakuna shido na akuliza upo wapi wewe kaka nikamwambia nipo kahama nimeitwa sa2 za usiku kaka mkubwa huku anauguza halafu yeye anatakiwa aende kazini kesho hivyo kaniita ghafla sana.
Nikamuachia maagizo kuwa iwapo nitachelewa kuja basi mizigo yangu asafirishe Hadi nyumbani Kwa kunipa no za bodaboda.
Lengo boda wanikute kakola na twende wote.
Tukiwa Bado tunawasiliana nae akaniambia wanaitwa wote.
Ndo wakaambiwa Kuna mdada kakamatwa anafanya yake ila mwanaume amekimbia na hawajampata.
Bahati nzuri yule dada hakunitaja kabisa jina na kanisa nililo Toka asee Wala kambi tu walipiga lkn hakutaja.
Kwa kifupi sikurudi Tena kambini dogo alifanya maelekezo yote niliyomwambia huku akimalizia kuku wangu mmoja aliyekuwa amebaki na nilipanga kuongeza wengine nikawa nimetimika mbio.
Kuna jamaa kule Kwa wasabato wanavaaga kama wajeda na Unakuta Wana nyota na mazagazaga kwenye mabega kama wajeshi wanapiga wale sio mchezo.
Yule binti tuliendelea kuwasiliana Hadi laini yake ikafungiwa na nida sijawahi kumapta Tena.
Ila kama walionipiga wamo humu basi tumekuta Tena sisi sio milima.
(Nimekumbuka yule pastor alikuwa anaitwa pastor mulozi huyu alikuwa muhutubu mkuu sijui yupo wapi huyu pastor!)