Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,383
- 38,302
Mradi wa ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo ilikuwa uwe moja ya flagship kubwa sana ya Belt and Road ya Wachina hapa Africa. Lakini kwa sababu amabzo hazieleweki hadi leo bandari haikujengwa ingawa serikali ilishaingia harasa kullipa watu fidia.
Kwenye video fupi hapa chini jamaa anaelezea mfano wa nchi ya Africa MAgharibi na kuonesha jinsi West wanavyofanya kuhujumu miradi kama hii inayofanywa na Wachina hapa Africa.
Viongozi wetu lazima wajiongeze maana kadri tunavyotaka kujikomboa kiuchumi wao wanabuni mbinu mpya za kutuhujumu ili tusiweze kuendelea.