Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 22,550
- 42,365
Sio mwaandishi mzuri ila nimesoma.
Mazingira ni kichocheo kimona wapo cha tabia ya mtu hivyo alivyo ni kutokana na mazingira yamemfanya hawe ivyo alivyo.
Kuna watu tunawalaumu watu kuwa wanatabia mbovu ila ni kwamba tabia walizo nazo ni mazingira yamewashape ivyo.
Nini nataka kusema just respect mtu atakama anaongea pumba au uwezo wake wa kufikir ni mdogo just respect ni udhaifu wake ila unaweza mbadirisha na ukitaka kumbadirisha mtu jaribu kwaza kuheshimu yale mawazo yake aone unamuheshimu ndipo unaweza mbadirisha nenda nae pole pole.
Usitumie udhaifu wake kama fimbo.