george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,020
Habari jamani wana JF,
Mimi sio fundi mzuri wa kuandika na kupangilia sentesi mtanisamehe kwa usumbufu wowote unaojitikeza kwenye uandishi wg, mimi naitwa j ni mzaliwa wa dar nimekulia Dar pia ila kwa sasa niko mkoani kibiashara katika historia yg ya maisha nimepitia mambo magumu sana jamani, nimesoma shule ya msingi Goba na kumaliza shule ya msingi ila sikuchaguliwa kuendeleza na masomo mwaka 2012 ila shuleni sikua vibaya ila sikuchaguliwa kwenda sec.
Kama mnavojua kipindi hiko ili ufaulu unatakiwa upate alama 140 kwa mvulana, kwa msichana upate maswali 125 angalau, yaani kwa mvulana ndani ya mitihani 3 ukose maswali 10 tu kilo mtihani una maswali 50, teendelee kiukweli nilifanya vizur ila kwa kipindi hiko nilikosa nafasi ya kujiunga na sec, ndipo nilipoanza kupambana na maisha ya mtaani kufanya vibalua mbalimbali ikiwepo kulima kuuza mihogo Kawe.
Kipindi hiko Goba na Salasala ni mapoli ukitembea ni ngedere tu na nyani sio sawa na Sasa goba imekua mbezi huko salasala hapagusiki kabisaa kiwanja hadi milioni 100 , jamani naombeni mnisamehe na uandishi wg mbovu ila ninayoyaongea hapa ni kweli mtupu.
Kwanza kabisa sisi kwetu ni familia ya watoto watano kwa baba na mama mmoja ila kabla hajazaliwa mdogo wa mwisho wa kiume kwetu mvulana nilikua pekee wengine wote ni wasichana hivo ikafanya mimi kupendwa sana na baba na kwa sababu nilikua na akili sana dalasani ilikua mimi ndio mfano wa watoto wote pale nyumbani cha ajabu hilo mama hakupenda hasa baba alikua akitoka kirabuni ni kuanza kuwachapa wale wa like mimi kuniacha, akanitengenezea uadui mkubwa na wenzangu na mama yg mzazi, ila yote kama mtoto niliyaona kiukweli baba ya alitopea kwenye urabu maisha yakawa magumu sana pale nyumbani ikifikia nikiwa dalasa la kwanza tu nikaanza kufanya kazi mbalimbali kuzoa mchanga kukata Kuni na kupeleka kuuza kwa wapika gongo ili mradi nipate pesa za kusaport nyumbani.
Tuliendelea na maisha hayo Hadi namaliza la saba, nilipomaliza la saba ikabidi nijitenge pale nyumbani hasa kutokana na matusi na kupigana wazazi Kila siku huku sisi watoto tukiwa kama ndio wasuluhisha ugomvi ,ni vile Sasa tunashuhudia matukio Yale ya ukatiri na watu wanashangaa?
Mimi nilishuhudia mama yg mzazi akipigwa ngumi na meno na damu kumtoka ni ukatiri tuliowahi kuhushudia tukiwa watoto, kiukweli zile bato za ugomvi wazazi pale nyumbani ni vitu visivosahaulika ,ilikua kama baba akiwa amelewa chakari nae mama ndio alikua akimsulubu hasaa, Kuna siku nilimuamulia baba yg alikua amewekwa pembezoni mwa kitanda na kukabwa na kitu kama fimbo huku baba povu linamtoka.
Dada zg hawakutaka kuamulia kutokana na mama alikua anawafukuza mimi nilikua na miaka 14 hivi kidogo nilikua na nguvu niliona Sasa mama anamuua baba nikaenda na kumvuta mama yg ,ni zaidi ya maumivu, kiukweli nimepitia mengi mno leo nataka niwasimulie jamani muwe wavumilivu, nitakuja na historia nzima hadi kufikia baba yg mzazi kushirikia na mama na saport ya wadogo zg wa like walipouza Mali nilizotafuta kwa jasho na damu tena nikiwa mgonjwa na kutokomea mkoani