Download ITunes kutoka kwa website ya Apple, kisha fanya installation. Baada ya hapo weka nyimbo unazotaka ziwepo kwa simu kwenye ITunes. Kisha plug simu kwa pc yako na sync kupitia ITunes.
Natumaini nitakua nimekusaidia.
humu kwenye simu kuna app imeandikwa itune store, je kuna jinsi kudownload humo?tumia itune kwa pc kwenda iphone yako au tumia xender kuhamisha baina ya iphone na iphone au iphone na simu nyengine kama android
humo unanunua mkuu, ni ngumu kukuta vya burehumu kwenye simu kuna app imeandikwa itune store, je kuna jinsi kudownload humo?
Hiyo itune unaidownload na kuinstall kwenye Pc au kwenye simu??humo unanunua mkuu, ni ngumu kukuta vya bure
kote kote ipo ila kwa simu inakuja nayo simu ila kwa pc ndio unadownloadHiyo itune unaidownload na kuinstall kwenye Pc au kwenye simu??
samahani Chief hyo xender ni app na inawekwa kwenye simu zote unazotaka kuhamisha hyo miziki??tumia itune kwa pc kwenda iphone yako au tumia xender kuhamisha baina ya iphone na iphone au iphone na simu nyengine kama android
yap ni app inayohamisha mafile kutumia wifi na ina built in players ili uweze kuyaplay sababu kwa iphone hairuhusu mafile yake kuwemo kwenye gallery.samahani Chief hyo xender ni app na inawekwa kwenye simu zote unazotaka kuhamisha hyo miziki??
nenda whatsapp halafu settings halafu chat settings then media auto download eka offMsaada naombeni jamani, iPhone 4s. Inaniambia memory full inabidi nifute picha na video ndo niendelee na kusave vitu vingine, nifanyaje picha za what's up zisijisave