Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 994
- 2,347
Hili jini sijui kwanini lisipande kwa viongozi wetu wanapokuwa kwenye mikutano ya kimataifa ili kuwasaidia kuongea na kusoma mikataba ya kimataifa inayoandikwa kwa Kiingereza hivyo wanasaini bila kujua na kuiingiza nchi yetu kwenye mikataba ya hovyo.😀😀😀
Jini hili la mzee wa Buza linaitwa RAS Simba.😀😀😀😀
Jini hili la mzee wa Buza linaitwa RAS Simba.😀😀😀😀