Ngoja wake wataalam kwanza mkuuJinamizi limefanyaje?
Hujawahi kukutana na hali ya kutojiweza kufanya chochote wakati umelala halafu akili yako inafanya kazi, yaani unaelewa kitu ila huwezi hata kuinua mkono?Uzi tayari
Kuparalyse ama?Hujawahi kukutana na hali ya kutojiweza kufanya chochote wakati umelala halafu akili yako inafanya kazi, yaani unaelewa kitu ila huwezi hata kuinua mkono?
Hutokea kwa dakika kadhaa halafu mtu anakuwa sawaKuparalyse ama?
Ifafanue sasa mkuuSleeping paralysis
Ifafanue sasa mkuu
UongoJinamizi ni ndoto yoyote ya kutisha.
Unaota,kwa mfano,umefukuzwa kazi.
Unawaza sasa utafanyaje.
Halafu,ghafla unaamka. Ah,kumbe ilikuwa ndoto! Thank God. Nilidhani kweli nimefukuzwa kazi.
Wanasema mtu analala inabakia subconscious mind.
Subconscious mind inazo memory card nyingi. Inachukua moja inatengeneza ndoto.
Jinamizi ni wakati subconscious mind inachukua card zaidi ya moja,card zinazopingana,halafu inatengeneza ndoto.
Setfree hawezj kuielewa hii hoja yako, yeye anaamini kuwa ni sheta.Sleeping paralysis ndio jinamis sio pepo wala jini ,bali wakati umelala kuna wakati unalalia mishipa ya damu hivyo kupelekea damu kushindwa kuzunguka vizuri mwilini,matokeo yake mwili unakutisha kwa hiyo hali ili uamke ulale vizuri
When a person is reclining and then suddenly feels paralysed, that is a perfectly normal sign, there is nothing wrong with it. It just means that the separation of the two bodies is preventing physical body motion, and the so-called paralysis is a misnomer really. It is just a strong physical disinclination to move. One often, at the same time, seems to be peering through a long tube, it might be a red tube, or it might be a black or grey tube. But it doesn't matter what colour it is, it is a good sign, it shows you are getting out.Uongo
Ilinitokea nikiwa nimelala mgongoHutokana na kuwa na usingizi wa ghafla (sudden episode of a deep sleep)
Na kujilaza hovyo hovyo(irregular sleepinf)mfano upo kazini ukasema ujiegeshe kidogo pia kulalia mgongo n.k
Usipende kulala chaliIlinitokea nikiwa nimelala mgongo