Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 369
- 1,006
in this life everyone has something to offer.
Katika haya maisha kila MTU anacho cha kutoa ambacho kinaweza kubadilisha maisha ya MTU mwingine.
Mfano mateja , - hawa sasa hivi wanaokota chupa na kwenda kuuza
Ikiwa utawatumia waweza kuwa na eneo la kununua chupa na ukapata hela .
Walevi - kuna watu wanatajirika na kuishi maisha makubwa Kwa kuwauzia pombe kali Kama sungura double kick and so on
Wavuta bangi- kuna watu wanauza bangi na vifungashio vya bangi na wanatajirika .
Malaya - kuna watu wanawatumia katika guest house zao na kupiga Sana hela wanawauzia condoms , vyumba n.k
Wazinzi - the same malaya ukiwa mzinzi kuna watu utawapa utajiri au mafanikio.
So chochote anachofanya MTU either is positive or negative watu watapata kitu.
Ukivuta sigara ukapata kansa au kufeli figo , fahamu tu watu watakutumia kupiga hela.
The only decision you can make ni kukumbatia kile kitakachokuacha na faida.