Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 329
- 874
JIFUNZE KUISHI UHALISIA KABLA YA UHALISIA WENYEWE HAUJAFIKA ✍️
Hii ni kanuni nzuri sana na ukifanikiwa kuiishi kuna mambo hayatakusumbua kwa sababu tayari ulijiandaa kabla ya utokeaji wake na hakuna namna unaweza kwepa utokeaji wake kwa sababu ni kanuni na asili yake kutokea.
UTAKE USITAKE IPO SIKU UTATOKA HAPO IWE KWA KANUNI AU ASILI.
1. Kama ni mwajiriwa utastaafu tu iwe kwa hiari au kwa kanuni.
2. Iwe kiongozi lazima ukomo utafika tu iwe kwa kanuni au asili
3. Kijana ipo siku utakuwa mzee hii ni lazima hata kama hutaki 😊
4. Uwe na usafiri ipo siku utatembea kwa miguu iwe kwa kanuni au asili.
#fikia ndoto zako
#Mwanasayansi Saul kalivubha.